Joyce Ndalichako na Kiingereza kibovu tena

Mbona kila anaposhika anaharibu ?
Kwa sababu ajasomea things of social science theories in nature.

Yeye anajua mambo ya number systems, structures, spaces, changes, game theory etc with mathematical theories. If you expand those theories it’s an entire different world with so many avenues to master and things can get very complicated if you don’t have the head.

Na Career path ya mathematicians sio managerial post za kisiasa, kwa level zake alitakiwa kuwa BoT huko ana crunch numbers au sehemu zozote ambazo mathematic za level yake inahitajika.

Eitherway ukisikia mtu ana ata first degree za mathematics kubali tu ni kichwa na PhD ndio kabisa. Sasa aina maana kila sehemu anafaa Ndalichako as minister she comes across as incompetent and she is in that area ata ukimsikiliza unaona huyu mama ni clueless kwenye hayo maswala.
 
Daaah,wabongo wengi bado wanaamini kwamba,kujua ki-english fasaha ni kuwa mwerevu.

Jose Mourinho kocha wa Spurs bado anaongea broken English mpaka kesho pamoja na kuish England miaka kibao ,sasa sijui nayeye KILAZA kwa mujibu wa 'wasomi' wetu hapa???
 
Joyce Ndalichako anapenda kuongea Kiingereza lakini Kiingereza hakimpendi. Hebu aliyemuelewa hapa atuambie alikuwa anataka kusema nini?

Hii ni mara ya 2 ndani ya siku 60 kwa Waziri kuongea Kiingereza chenye uvunjifu wa sarufi na tafsiri ya neno kwa neno toka Kiswahili kuja Kiingereza. Ya kwanza ni pale alipokuwa anamtishia Mkandaarasi wa kichina kuwa nitakusweka ndani (You will stay inside)

USHAURI:
Namshauri Mh Waziri awe anaongea kwa Kiswahili tu au awe anasoma hotuba alizoandikiwa na wataalamu. Kinyume chake anadhalilisha PhD yake na Vyuo vilivyompa hizo shahada.

Zaidi soma: Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?
View attachment 1355606
Ungeweka video nzima ingependeza au ya angalau dakika 2
 
😆😆😆😆 ana digrii ya hesabu
Binadamu awezi pangiwa cha kusema kumwita Ndalichako mwenye mi degree ya hesabu kilaza ni kujifurahisha tu; na huyo kiazi mwingine nimeona nimpotezee sidhani kama anaweza andika ata karatasi ya A4 in standard English.
 
Hii nayo ni habari?

Jamani tuache ujinga basi maana nyie wenyewe mfumo wetu wa elimu mnaujua.

Mtu mwingine mpaka anapata PhD neo analoweza kulitamka kwa ufasaha ni 'is'.
Hii ni habari haswa mkuu 'technically'.

Huyu ndiye mwenye wadhifa juu ya uimara wa wizara yetu mhimu sana. Yeye ndie mfano wa kuigwa, na hasa hao ambao bado wamo mashuleni, vijana wetu.

Sasa basi, kama hiyo lugha haipandi, aachane nayo kuliko kuendelea na kuonyesha mfano mbaya kwa watu wanaotegemea wizara yake ndiyo iwe sehemu ya kunyoosha hayo mambo.

Atumie Kiswahili, hao wachina na waturuki anaowazungumzia 'broken english' wataelewa tu kwa jitihada zao za kufanya kazi zao zifane hapa kwetu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom