Joyce Kiria kurudi kwa kishindo na Wanawake live ii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Joyce Kiria kurudi kwa kishindo na Wanawake live ii

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Henry Kilewo, Nov 11, 2011.

 1. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  yule dada mpambanaji alimaarufu Joyce kiria ambaye kwasasa ameolewa na kupata mtoto wa kiume. Anatarajiwa kurudi na ujio tofauti kabisa kwenye luninga moja wapo za bongo ukiachilia mbali vipindi vyake vinavyoruka kwenye DSTV, *nilibahatika kulonga na mwanadada huyo alipokuja hapa Arusha kumtembelea na kumpa hongera kamanda Lema mbunge wetu wa A- town, alikuwa ameongoza na mume wake, tulikutana maeneo ya magereza walipokuwa wameenda kumtembelea Godbless lema huku wakiwa wameambana na mke wa mbunge wetu yaani Neema lema,

  Tulitaka kujua ujio wake utakuwaje: na mnukuu, NIimejipanga kurudi kimapinduzi zaidi ilikumkomboa mwanamke katika mfumo dume, pili natarajia kujatofauti kabisa, naombeni muniunge mkono maana bila nyie sitoweza kufika ninapotaka kufika na kuwafikisha wanawake wenzangu.


  Tukamuomba angalau picha za ujio wake mpya, akatutumia naweka moja kwanza. View attachment 41068
   
 2. n

  never JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  huyo dada habahatishi hata siku moja, na mkubali sana anajua anachokifanya yupo tofauti na wenzake wanaojiita mastaar. Anajichanganya kwenye kila kundi la jamii bila kujali ustaa wake.
   
Loading...