Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,999
Ukienda kwenye kesi halafu wakili akahofia ushahidi wa mtoa ushahidi ni dhahiri mambo ni magumu. Nakumbuka jinsi Joyce Kiria alipoambulia matusi kwa kumuonya mumewe Kilewo kuachana na siasa za maji ya choo....kundi la vijana wa chadema likiongozwa na Malisa na wenzake walimshambulia kuwa eti Joyce ni 'delila',
Na ilipotokea mke wa Lema kulalamikiwa na RC Gambo kwa kumtusi nilimshuhudia Neema kwenye social media huku akipongezwa na wafuasi wa Chadema akijivunia kumkashifu RC Gambo kwamba eti 'yeye ni kama tu walivyo mashoga wengine'..Nilipomwona kizimbani niligundua hakuwa yeye wakati alipokuwa anatoa meseji za matusi bali aliwafurahisha akina Malisa ili wamwone ni 'Abigael'.
Mara kadhaa mwanasheria wa CHADEMA ndugu Tundu katika mitandao amekuwa akiwaonya wafuasi 'wajinga' juu ya matusi na lugha zisizostahili kuwa zitawagharimu. Naauum gharama imeanza kuwa kubwa na kwa kuwakumbusha tu kama ilivyo katika benki ya kwamba taarifa za mteja ni siri lakini kuna 'exeptions' kama wito wa mahakama, Mamlaka ya kodi, Kitengo cha uchunguzi wa pesa haramu,TAKUKURU, Polisi, usalama wa taifa nk.
kwa muda unaofaa wanaweza kuitisha taarifa inayolalamikiwa ili kujiridhisha na jinai. Pamoja na haki ya uhuru na usiri wa habari uwajibikaji dhidi ya haki za raia na umma ni muhimu pia.
Kibatala amedhihirisha umbumbumbu wa sheria ati kwa kuwahamasisha wafuasi wa Chadema waachane na Voda bila kuwatahadharisha kuwa hata wakitukana na kuvunja amani kupitia mitandao mingine wataadhibiwa, hoja hii ndio inayoniambia pengine amekuwa na hasira na Voda kwani ushahidi huo wa lugha ya matusi na yenye uchochezi ikithibitika kuwa iliasisiwa na Neema basi naye ataungana na mumewe Kisongo.
Kwa sasa nafikiri mumeelewa kuwa kumbe Joyce Kiria ndiye alionyesha sifa za 'Abigael' japo aliambulia matusi na kejeli. Tumeng'amua sasa uongo haudumu.
Tujirekebishe.