Anadai haki yake na nyinyi wengine munajifanya wababe. Kama mafuta au gesi ipo kwenye eneo la malawi, wapewe na kwanini MAma apige kelele kama kweli gesi au mafuta hayapo upende wake?. Bila shaka hili ni tatizo kama lile tulilonalo sisi wazanzibari na Tanganyika. Munalazima kuiba mafuta yetu. Mumekwenda UN kutaka kuongezewa mipaka ya bahari kusudi mutuibie mafuta yetu. Muna nini watanganyika. Hebu jiulizeni mumekosa nini kwa Mungu.