Joyce banda buys interceptor fighter boats to defend lake malawi!

Wafanyakazi wa Serikalini Malawi, mishahara wamekosa mpaka wamepewa livu ya lazima, kumbe huyu mamaa kenda kununuwa boat za kulinda ziwa? hana akili kweli kweli, hivyo viboti vyake analinda nini? Tanzania isimvamie? pambaf.

Kwa hili kweli huyu mama ana matatizo sana.
 
problem huyu sema ajawa spcfc bt nahs analenfa ziwa nyasa na ju nliona anasgn makubaliano na m23 nairobi state house huyu kna mswven..kagame na kenyata washamnunua achelewi kuagza majeshi yake yaliyopo ktk muungano na TZ &SA congo watoe siri kwa m23 kna kagame wasije mhonga pesa walzoiba congo kwa kuuza dhahabu uhuru kenyata ni mnafk sana acha the hague imuhusu
 
problem huyu sema ajawa spcfc bt nahs analenfa ziwa nyasa na ju nliona anasgn makubaliano na m23 nairobi state house huyu kna mswven..kagame na kenyata washamnunua achelewi kuagza majeshi yake yaliyopo ktk muungano na TZ &SA congo watoe siri kwa m23 kna kagame wasije mhonga pesa walzoiba congo kwa kuuza dhahabu uhuru kenyata ni mnafk sana acha the hague imuhusu makubaliano na majambaz ya m23 ya nini???
 
problem huyu sema ajawa spcfc bt nahs analenfa ziwa nyasa na ju nliona anasgn makubaliano na m23 nairobi state house huyu kna mswven..kagame na kenyata washamnunua achelewi kuagza majeshi yake yaliyopo ktk muungano na TZ &SA congo watoe siri kwa m23 kna kagame wasije mhonga pesa walzoiba congo kwa kuuza dhahabu uhuru kenyata ni mnafk sana acha the hague imuhusu

mkuu mbona sielewi unamainiaha nini.au makengeza yangu yanazidi kunikengeza.
 
problem huyu sema ajawa spcfc bt nahs analenfa ziwa nyasa na ju nliona anasgn makubaliano na m23 nairobi state house huyu kna mswven..kagame na kenyata washamnunua achelewi kuagza majeshi yake yaliyopo ktk muungano na TZ &SA congo watoe siri kwa m23 kna kagame wasije mhonga pesa walzoiba congo kwa kuuza dhahabu uhuru kenyata ni mnafk sana acha the hague imuhusu

mkuu jaribu kuiandika vizuri nakupaste upya.
 
Wafanyakazi wa Serikalini Malawi, mishahara wamekosa mpaka wamepewa livu ya lazima, kumbe huyu mamaa kenda kununuwa boat za kulinda ziwa? hana akili kweli kweli, hivyo viboti vyake analinda nini? Tanzania isimvamie? pambaf.
lakini its OK kwa TZ kununua JET FIGHTERS???mgawo wa umeme,foleni,ufisadi wa kutupa,hata maji ya uhakika hakuna etc ila unachoona ni mishahara ya walimu wa malawi?? kama huu si uwendawazimu ni nini,and next time just mind your business maana Malawi ni nchi huru na hakuna mtu mwenye akili atasikiliza garbage zako.
 
Mgao wa umeme: huwezi kusoma basi hata kuona huoni?

foleni; kuna nchi iliendelea bila kuwa na foleni?

Ufisadi: kuna ufisadi zaidi ya mchungajinwa kondoo kupora mke wa kondoo wake?

maji; ungekuwa huna maji ungekaa kwenye keyboard yako kuandika utumbo saa hizi? si ungekuwa unatafuta maji.
 
Kwenda zako hypocrite mkubwa wee na umeishiwa maana hata unachoandika mwenyewe huelewi.
 
lakini its OK kwa TZ kununua JET FIGHTERS???mgawo wa umeme,foleni,ufisadi wa kutupa,hata maji ya uhakika hakuna etc ila unachoona ni mishahara ya walimu wa malawi?? kama huu si uwendawazimu ni nini,and next time just mind your business maana Malawi ni nchi huru na hakuna mtu mwenye akili atasikiliza garbage zako.

Mkuu ndio ni muhimu Tanzania kununua JET FIGHTERS, tena ikiwezekana waongeze, tuko vitani na M23 lazima tujiimarishe kiulinzi. Mgao wa umeme hili ni tatizo la kila siku, haimaaniishi eti tusijijenge kijeshi kisa tuna mgao au kuna foleni, nahisi kama wewe umeandika garbage.... Kama unasema nchi haina pesa na kuwa ushawapa watu leave, tena vipi uwe na pesa ya kununua boti za kivita? Unanunua boti za kivita huku watu wanakufa njaa, kisha hizo boti nazo tutaambiwa hakuna pesa ya mafuta ya izo boti kufanya patrol kila siku, so whats the point? Uyu bibi Lake Nyasa ameifanya ndio mtaji wake wa siasa....
 
Pumbavuuuuu kabisa.
Huyu mwanamke anaacha raia wake wafe kwa njaa na ukosefu wa matibabu anaenda kujihami ziwani.
kwake yeye ni investment kwani akishinda hiyo battle ya lake malawi/nyasa atapata hela za mafuta toka hapo.
 
Kwenda zako hypocrite mkubwa wee na umeishiwa maana hata unachoandika mwenyewe huelewi.

We Koba huwa unatatizo gani? Kuna topic zikiguswa huwa unakuja kwa kasi na jazba na huchelewi kuporomosha matusi.
Ni aina gani ya ustaarabu uliyonayo ambayo inakuzuia kujadili vitu bila matusi na kejeli?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom