FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,023
- 40,694
[h=1]MALAWI TO PUT ARMED PATROL VESSELS ON LAKE MALAWI, WE ARE ALREADY INVADED AS WE SPEAK PRESIDENT JOYCE BANDA.[/h] FULL STORY..
Wafanyakazi wa Serikalini Malawi, mishahara wamekosa mpaka wamepewa livu ya lazima, kumbe huyu mamaa kenda kununuwa boat za kulinda ziwa? hana akili kweli kweli, hivyo viboti vyake analinda nini? Tanzania isimvamie? pambaf.
problem huyu sema ajawa spcfc bt nahs analenfa ziwa nyasa na ju nliona anasgn makubaliano na m23 nairobi state house huyu kna mswven..kagame na kenyata washamnunua achelewi kuagza majeshi yake yaliyopo ktk muungano na TZ &SA congo watoe siri kwa m23 kna kagame wasije mhonga pesa walzoiba congo kwa kuuza dhahabu uhuru kenyata ni mnafk sana acha the hague imuhusu

lakini its OK kwa TZ kununua JET FIGHTERS???mgawo wa umeme,foleni,ufisadi wa kutupa,hata maji ya uhakika hakuna etc ila unachoona ni mishahara ya walimu wa malawi?? kama huu si uwendawazimu ni nini,and next time just mind your business maana Malawi ni nchi huru na hakuna mtu mwenye akili atasikiliza garbage zako.Wafanyakazi wa Serikalini Malawi, mishahara wamekosa mpaka wamepewa livu ya lazima, kumbe huyu mamaa kenda kununuwa boat za kulinda ziwa? hana akili kweli kweli, hivyo viboti vyake analinda nini? Tanzania isimvamie? pambaf.
lakini its OK kwa TZ kununua JET FIGHTERS???mgawo wa umeme,foleni,ufisadi wa kutupa,hata maji ya uhakika hakuna etc ila unachoona ni mishahara ya walimu wa malawi?? kama huu si uwendawazimu ni nini,and next time just mind your business maana Malawi ni nchi huru na hakuna mtu mwenye akili atasikiliza garbage zako.
Mgao wa umeme: huwezi kusoma basi hata kuona huoni?
foleni; kuna nchi iliendelea bila kuwa na foleni?
Ufisadi: kuna ufisadi zaidi ya mchungajinwa kondoo kupora mke wa kondoo wake?
maji; ungekuwa huna maji ungekaa kwenye keyboard yako kuandika utumbo saa hizi? si ungekuwa unatafuta maji.
Kwenda zako hypocrite mkubwa wee na umeishiwa maana hata unachoandika mwenyewe huelewi.
lakini its OK kwa TZ kununua JET FIGHTERS???mgawo wa umeme,foleni,ufisadi wa kutupa,hata maji ya uhakika hakuna etc ila unachoona ni mishahara ya walimu wa malawi?? kama huu si uwendawazimu ni nini,and next time just mind your business maana Malawi ni nchi huru na hakuna mtu mwenye akili atasikiliza garbage zako.
kwake yeye ni investment kwani akishinda hiyo battle ya lake malawi/nyasa atapata hela za mafuta toka hapo.Pumbavuuuuu kabisa.
Huyu mwanamke anaacha raia wake wafe kwa njaa na ukosefu wa matibabu anaenda kujihami ziwani.
Kwenda zako hypocrite mkubwa wee na umeishiwa maana hata unachoandika mwenyewe huelewi.