Joto la Dunia linaelekea kuongezeka kwa zaidi ya digrii 3

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,499
9,279
Mpango wa Mazingira wa Umoja wa Mataifa (UNEP) umeripoti kuwa licha ya makadirio kwamba "uzalishaji wa kaboni utapungua kwa asilimia 7 mwaka huu kutokana na janga la corona", joto la Dunia linaelekea kuongezeka kwa zaidi ya digrii 3.

Katika taarifa iliyoandikwa iliyotolewa na UNEP, ilisema kuwa ongezeko la joto linaweza kubaki kwa digrii 2 za Celsius ikiwa nchi zitatimiza ahadi zilizotolewa katika Mkataba wa Hali ya Hewa wa Paris, na kwamba uwekezaji wa mazingira unaozingatia hali ya hewa unapaswa kuongezeka.

Katika taarifa hiyo, Mkurugenzi Mtendaji wa UNEP Inger Andersen alisema, "Wakati 2020 ni moja ya miaka yenye joto zaidi katika kiwango cha rekodi, joto lisiloodhibitiwa, dhoruba na ukame vinaendelea kusababisha maafa.".

Shirika la Hali ya Hewa Duniani lilitangaza katika ripoti yake ya kila mwaka ya hali ya hewa wiki iliyopita kwamba 2020 ilikuwa njiani kuwa mwaka wa joto wa tatu baada ya 2016 na 2019.
 
Kila kitu majanga
 
Liongezeke tu maana mtu anavuna msitu wa SELOUS wenye hekari zaidi ya 1000 anakata miti yote kujenga bwawa alafu utegemee baridi toka wapi?

Reserve area zote CCM wamejigawia na kuweka makontena, joto njoo
 
Sasa mkuu kama uzalishaji wa CO2 umepungua joto limeongezekaje?

maana hiyo CO2 ndo huwa inaharibu Ozone na kusababisha kuongezeka kwa joto

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka huu uchomaji wa misitu ya Amazon na ufyekaji wa misitu ya Kongo ambayo ndiyo mapafu ya dunia uliongezeka, vilevile misitu kwenye nchi nyingi ilichomwa na inaendelea kuchomwa na kufyekwa.
 
Kama dunia ilisimama kwa muda... Kukawa hakuna movement nyingi ambazo zingeweza kuzalisha kiwango kikubwa cha hewa ya ukaa kutokana na magari, viwanda, ndege...
Nikiwa na maana janga la covid19 lilipelekea kupungua kwa uzalishaji wa hewa ya ukaa ambayo ndio imekuwa chanzo kikubwa cha ongezeko la joto duniani...
Je Hii hali ya sasa ya kuongezeka kwa joto inatokana na nini..??
 
Kuna vyanzo vingi vya kuongezeka joto sio lazima isababishwe duniani.

Sababu moja wapo ni jua kuanza kuwa red giant then nebula then sisi na dunia wote tubanikwe sababu jua lina muda mrefu pia.

Alafu tunapata kitu kinaitwa mwisho wa dunia.
 
Back
Top Bottom