englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,207
Na nyinyi huko mtakuwa na kero zenu. Nikianzia bei ya mafuta DSM Petrol Tshs 2050 - 2102. Bukoba Inakaribia 2400 Tshs.Mkiambiwa kuhama hamtaki,njooni bukoba haya mambo sie hatuna.
Well said mkuu, hata huyo anayejisifu kwamba huko aliko hamna kero kama hii atakuwa si mkweli, lazima kutakuwa na kero nyinginezo.Tushajizoelea wenyewe,unahitajika eneo la tukio saa 2 asubuhi unatoka nyumbani saa 11 alfajir.
Well said mkuu, hata huyo anayejisifu kwamba huko aliko hamna kero kama hii atakuwa si mkweli, lazima kutakuwa na kero nyinginezo.
Ndiyo hapo nashangaa. Tatizo huwa halikimbiwi bali linakabiliwa tena kiume.[/B]
Utahama mikoa mingapi kukimbia hizo kero? Cha muhimu ni kuji adjust tu ili uweze kwenda nazo sawa.