joto hasira na pesa hakuna

englibertm

JF-Expert Member
May 1, 2009
9,252
6,207
1384044_189214154596942_65424113_n.jpg
 
Bongo yetu,hapo chacha lini hii hali itaisha jamani...aaaagh
 
Tushajizoelea wenyewe,unahitajika eneo la tukio saa 2 asubuhi unatoka nyumbani saa 11 alfajir.
 
Tushajizoelea wenyewe,unahitajika eneo la tukio saa 2 asubuhi unatoka nyumbani saa 11 alfajir.
Well said mkuu, hata huyo anayejisifu kwamba huko aliko hamna kero kama hii atakuwa si mkweli, lazima kutakuwa na kero nyinginezo.
 
Well said mkuu, hata huyo anayejisifu kwamba huko aliko hamna kero kama hii atakuwa si mkweli, lazima kutakuwa na kero nyinginezo.

Utahama mikoa mingapi kukimbia hizo kero? Cha muhimu ni kuji adjust tu ili uweze kwenda nazo sawa.
 
Back
Top Bottom