Joto gani na unyevu vinafaa kwenye incubator ikiwa na mayai

Kwa siku kumi na nane za mwanzo joto linatakiwa kuwa 37.5 na unyevu unyevu unatakiwa kuwa kati ya 50-60%..

Na siku tatu za mwisho yaani siku ya 19-21 joto lishushwe mpaka 36.5 na unyevu unyevu unatakiwa kuongezeka hadi 60-70%..
 
Mm joto niliweka 37.8 na humidity 63 kwasiku ya 1_18 na siku ya 18_21 joto nimeweka 36.5 na unyevu 70 je nipo sahihi? Naomba ushauli wako
 
Back
Top Bottom