Joti Nomaa Sanaa!?

Hiki kijamaa bhana, kinavipaji mia kidogo..! Mke wake kumbe wanaye kitambo sana hadi binti yao siyo muda wataozesha..! Kidding..

Hongera zake kwa kumstili mzazi mwenziwe la sivyo angemzalisha na kusepa..
 
Hadi raha.
hayo ndio maisha...sio kujiwekea masharti magumuu kuutesa moyo tu, ukihisi kucheza chezaaa..

hongera kwa mkewe sio kama wanawake wa humu kuchwa kukandia wanaume wafupi.

Life is Simple bwanaa
 
Hadi raha.
hayo ndio maisha...sio kujiwekea masharti magumuu kuutesa moyo tu, ukihisi kucheza chezaaa..

hongera kwa mkewe sio kama wanawake wa humu kuchwa kukandia wanaume wafupi.

Life is Simple bwanaa
Wataanza kupovuka hahah
 
Okay! Kumbe basi ni kapuuzi kama wapuuzi wengine wa nchi hii..!
Wewe kama ni mtoto wa kiume na haujaingia kaburini usijekusema hivyo!vitu vingine weka nadhiri moyoni tu,tumeshuhudia watu wakikimbia watu kwa sababu ya maisha kuwa tofauti na pumba zao
 
Amenifurahisha sana kwenye tweets yake joti aliongelea watu hao wawili kua ni waalim wake ktk sanaa ndo waliomfundisha mambo mengi
Those days wakat joti alikuwa lowest level

Miaka ya 90's umo maeneo ya mburahati
Nimefarijika sana kuona ana appreciates I'll baada ya kuwa star
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom