Joti anapoelekea watu watalazimika kumu "unfollow"

vampire_hunter007

JF-Expert Member
Jul 25, 2015
1,034
2,570
Aisee nilipokuwa youtube nikajikuta napitia video ya huyu jamaa.....Dah Sikuwa nikijua kama jamaa kafikia stage hii....Yani video zote kavaa mavazi ya kike na kujishebedua kama mdada....Na make up kabisaaaaaaaaa.....

Hivi lengo lake ni kuchekesha au nini?....Maana sioni anything funny kujifananisha wa mwanamke....Vichekesho vya namna hii huenda watu wa miaka ya 80 na 90 ndo wangekuwa wanacheka...Its soooo boring kiasi kwamba inaudhi na kukera...

Jamaa naona kama kaishiwa flani hivi...Kiasi kwamba analazimisha sasa kubaki on top...Kwani mbona wapo wachekeshaji maarufu duniani ambao hawachuji na hawavai upuuzi huo...Mchekeshaji inabidi hata akivaa suti tu akizungumza mtacheka, lakini hii style mwisho wa siku utanogewa na kuanza kutafunwa (Kama bado)...

Badilika mjombaaa
 
Teh teh teh......!
Umenifurahisha sana hapo kwenye red maana mh..!
 
Aisee hii style mwisho wa siku utanogewa na kuanza kutafunwa (Kama bado)...

Badilika mjombaaa.
joti-ndi-ndi-ndi-559x520.png
joti.jpg
 
mia nshangaa basata hawajampiga STOP!! anaharibu watoto wa kiume kutaka kuwa wanawake. yeye kama ka celebrity ni role model!!! sasa anafundusha nini jamii? BASATA PIGA STOP kituko hicho

Mh! Kwa tunakoelekea tutaishia kung'oa vichaka ili mbwa asikojoe ovyo badala ya kumfunza.
Ni kama kuondoa pipi dukani ili mtoto asililie, au kuondoa hata vitanda ili asikojoe kitandani!
Hebu wakati mwingine tutulize akili zetu kidogo.
 
Mussa Kitale a.k.a Mkude Simba,Bwakila,Kitale jamaa mwenye kipaji kikubwa kwa sasa cha kuchekesha hapa TZ.
Pia kuna Manganja na Mjoma chogo..hapa wamemaliza kila kitu,unapewa maneno tu na unacheka mpaka basi.
Wengine ambao hawachuji ni Mizengwe,hawa jamaa tangj wanaanza enzi za Marehemu Max na Zembwela,mpaka sasa bado wapo.
YNWA
 
Ananiboa sana jamaa kuigiza kike,mbona akina Erick Omondi wanachekesha bila hata bila kutumia nguvu wamevaa suti kabisa, kama ameishiwa akafanye mambo mengine kama masanja na mpoki, Halafu ukizingatia ni mtu mzima kabisa at Late 30"s cjui ata ndugu zake wanamchukuliaje, halaf ana dem kweli huyu jamaa..?
 
Aisee nilipokuwa youtube nikajikuta napitia video ya huyu jamaa.....Dah Sikuwa nikijua kama jamaa kafikia stage hii....Yani video zote kavaa mavazi ya kike na kujishebedua kama mdada....Na make up kabisaaaaaaaaa.....

Hivi lengo lake ni kuchekesha au nini?....Maana sioni anything funny kujifananisha wa mwanamke....Vichekesho vya namna hii huenda watu wa miaka ya 80 na 90 ndo wangekuwa wanacheka...Its soooo boring kiasi kwamba inaudhi na kukera...

Jamaa naona kama kaishiwa flani hivi...Kiasi kwamba analazimisha sasa kubaki on top...Kwani mbona wapo wachekeshaji maarufu duniani ambao hawachuji na hawavai upuuzi huo...Mchekeshaji inabidi hata akivaa suti tu akizungumza mtacheka, lakini hii style mwisho wa siku utanogewa na kuanza kutafunwa (Kama bado)...

Badilika mjombaaa
Original comedy wote baada ya kutoka kwenye kampeini za ccm naona wote wameishiwa na sasa wanaboa
 
Back
Top Bottom