Joti afunguka kuhusu kutoka kimapenzi na Gigi Money

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,059
Yadaiwa kuwa Gigi Money alipigwa na mpenzi wake hadi kutoka ngeu baaada ya kudaiwa kutoka kimapenzi na Joti na Gigi Money kudai kuwa Joti ana sehemu ndefu isiyoonekana ndio maana amempenda.
Joti ameulizwa na kumruka vikali na kudai yeye ana mke na familia na hawezi kutoka nae
Pia amedai Orijino Komedi haijafa kama watuwanavyodia bali wapo likizo

 
Gigi Money naye anajikuta Mwanafalsafa,"Sehemu ndefu isiyoonekana"

Tawi kavu siajabu Kuanguka-Pumzi ilishakata Orijino Komedi.
 
Kiki at work..ukiona hivi basi ujue kuna kazi za kina Joti zaja kupitia Mawingu tv.
 
Back
Top Bottom