Joshua Nassari na madiwani 29 wameshinda kesi ya uharibifu wa mali iliyokuwa ikiwakabili

Emma.

JF-Expert Member
Jun 25, 2012
19,935
5,558
Wana JF.
Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari na madiwani 29 wa Chadema wameshinda kesi ya uharibifu wa mali iliyokuwa ikiwakabili muda huu mahakamani.

FB_IMG_1470139026929.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_2016-08-02-14-51-19.png
    Screenshot_2016-08-02-14-51-19.png
    384.3 KB · Views: 82
Hivi huwa serikali ndio inakurupuka katika kuwashtaki au hawa jamaa wanabambikiwa kesi zisizo na ushahidi ?
Mbona mara zote serikali inashindwa dhidi yao?
Kuna haja sasa waanze kuhakiki vyeti na kwa hawa waandaa mashtaka
 
Kesi hizi za kitoto ifikie mahali hawa washitaki wa wapinzani waone aibu. Wanamfurahisha nani kwa kesi uchwara hizi ?!
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imeifuta kesi ya jinai iliyokuwa ikimkabili Mbunge wa Arumeru Mashariki,Joshua Nassari, na Madiwani 29 wa jimbo la Arumeru Mashariki. Waliofutiwa kesi wote ni wa CHADEMA.

Kesi hiyo imefutwa kufuatia Serikali kuwasilisha Hati ya Kutokuwa na Nia ya kuendelea na kuwashtaki akina Nassari. Hati hiyo imewasilishwa chini ya kifungu cha 91 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai Tanzania. Nassari na wenzake walikuwa wakikabiliwa na shtaka la kuharibu mali.

Chanzo: ITV
 
Back
Top Bottom