Joshua Nassari MB.

Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
15,134
13,253
WanaJF
Nadhani wote mngependa kujua kuhusu kinachojiri hapa kuhusu Mheshimiwa Joshua Nasari na sakata lake na polisi wa Arusha. To make a long story short, mchana huu kasharipoti kituo kikuu cha police hapa Arusha akifuatana na Godbless Lema na baadhi ya viongozi wa CDM akahojiwa kwa kama 20 minutes then yuko free. Karibuni Arusha.
 
Mbona kuna mtu kasema kuwa baada ya kuachiwa huru alikuj kamanda wa polisi sijui yupi sasa na kushangaa wa kwa nini kaachiwa? Fafanua hapo.
 
Amefunguliwa mashitaka au ameachiwa tu.

Pamoja na kuifupisha stori lakini umeacha kuelezea vitu muhimu sana ambavyo vilipaswa kuwamo kwenye hiyo post.
 
Eleza kwa undani ili hata wale wenye magamba hadi machoni waelewe!!
 
Haki ya watanzania kuzungumzia vitu wanavyowish wanavyoaspire haipo tena? Polisi wanajuaje Kama kitu Fulani kitaleta uvunjifu wa amani?
 
hivi kauli kwamba Rais ajaye hawezi kutoka kaskazini na kuwa jina la rais huyo analo JK haiwezi kuleta uvunjifu wa amani na sio kauli ya uchochezi mbona hakuna aliyehojiwa???
 
Back
Top Bottom