Joshua Nassari kuweka ushahidi wa madiwani kuhongwa hadharani!

Nairobi ni shida, Dereva wa Lisu alitoka Dar akiwa na akili nzuri,matibabu ya Nairobi amevurugikiwa. Wauguzaji hata Mbowe, waliondoka na lugha za busara wamerudi wakiropoka ovyo. Sasa Flush ya Nassari nayo imebuma mpaka arudi!!! Huko sio kwa kwenda.
hahaaahaaa
 
Yaani Nassari amekuwa kama wale mafarasi wanaokupigia simu nakukuambia wana kitu inabidi akuambie lakini eti hawezi kukuambia mpaka mtapokutana - sijui wiki ijayo. Shwain... si bora angekufa nalo kuliko kuwekana pressure namna hiyo.
 
Nassari sa ingine namuona kama mjinga mjinga sana. Sasa anaremba nini kuweka ushahidi wake hadharani. Mwisho atanyang'anywa aseme kaonewa.

Kama hataki kuutoa ushahidi, akae kimya watu waendelee na maisha yao. WaPumbafu! (in someone's voice)
Si nimesoma hapo amesema yuko Nairobi akirudi ataweka ,au alisharudi?. Watu hamsomi mnakimbilia ku comment yaani ni shida tupu.
 
Hata halembi. Anasubiri CCM wafike dau ili asitoe ushahidi. Na Ili ndilo tatizo kubwa la wanasiasa Tz. They have a price Tag.
You got it! There is akwats a price tag. Nassari anataka ahongwe ili aumeze ushahidi. Ni ushahidi gani hui? Anasema aliutoa Ulaya masomoni. Ebu tuone, tukaeni mkao wa kula. Lete hadisi!
 
Mmh huko Nyaerobi inaonekana ni hatari kabisa,ukienda unapoteza kumbukumbu au unazidisha yaliyokuwemo. Issa Matona (marehemu)aliimba nawaasa njia ya bara tusende,sikumwelewa!!

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
 
Muda mwingine CDM wanajishushia credibility bure tu, hakukuwa na haja na ile press conference ya juzi kama ushahidi ulikuwa hautoki siku ile.
Zamani walisemaga wana ushahidi usiotia shaka polisi wamehusika na ulipuaji bomu, na kwamba walikuwa wanarekodi mkutano wao na camera inayopoga picha 360 degrees, hadi leo hawajawahi toa ushahidi hadharani.
Juzi Nasari anasema ametoka uingereza na vifaa vya kijasusi vimechukua matukio mengi na raisi akizingua wataweka ushahidi hadharani, raisi ndio kashawachunia na ushahidi hadharani ni ndoto.
 
Dogo weka mambo hadharani bit za nini
Mimi nimemwelewa Nasari amengojea slowslow abishe na tayari polepole kabisha so baada ya kumwaga hadharani seikali na ccm watachukua hatua gani?swali la pili kwa kitendo cha rais kuwapokea hadharani madiwani hao ushahidi huo unamweka ******** katika sura ipi? mshamba au?
 
jamaa anatembea na ushahidi mfukoni! mwisho wa siku watu wasiojulikana wataukwapua, shauri yako,
 
Back
Top Bottom