Joshua Nassari kuweka ushahidi wa madiwani kuhongwa hadharani!

Freyzem

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
10,052
24,442
Haya ndiyo maneno aliyoyaandika Joshua Nassari.

Nimemsikia ndg Polepole. Nipo Nairobi, nikirejea tu nyumbani ...nitaweka hadharani ushahidi huu usiokuwa hata na chembe moja ya shaka. Ili tuone kama kweli CCM itachukua hatua kwa wateule wa Rais.
[HASHTAG]#arumerukwanza[/HASHTAG]
[HASHTAG]#tanzania[/HASHTAG] [HASHTAG]#fightcorruption[/HASHTAG].
 
Nilidhani na ule ni sehemu ya ushahidi huo, kumbe kuna mwingine tena
 
Nassari sa ingine namuona kama mjinga mjinga sana. Sasa anaremba nini kuweka ushahidi wake hadharani. Mwisho atanyang'anywa aseme kaonewa.

Kama hataki kuutoa ushahidi, akae kimya watu waendelee na maisha yao. WaPumbafu! (in someone's voice)
Hata halembi. Anasubiri CCM wafike dau ili asitoe ushahidi. Na Ili ndilo tatizo kubwa la wanasiasa Tz. They have a price Tag.
 
Hao tushewazoea hakuna cha ushaidi wala nini. Washasema mala kibao kuwa wana ushaidi lakini kuuweka hadharani inakuwa mgogoro!
 
Huyu naye anayumba yumba tu! Raha ya propaganda siku hizi zinanoga na vithibitisho! Siku zote hizo anashindwa nini kuweka hadharani!? Au kesi iko mahakamani anaogopa kuvuruga ushahidi!!
 
wananchi tunaitaji maendeleo mambo ya ushaidi hayana manufaa kwetu chadema hovyo SNA muda wote wanawaza mizaa na utani wakitoto
 
Hivi unadhani huo ni ushahidi wa electronic aliou-upload kwenye flash disk ni kama makaratasi unaweza kumpora na kuuchoma moto kama ilivyochomwa moto Nissan moja pale Morogoro juzijuzi?!

Nassari sa ingine namuona kama mjinga mjinga sana. Sasa anaremba nini kuweka ushahidi wake hadharani. Mwisho atanyang'anywa aseme kaonewa.

Kama hataki kuutoa ushahidi, akae kimya watu waendelee na maisha yao.

Aulinde vizur wasije wakambana aupoteze Ushahidi huo

Atakamatwa na polisi mara tu akitoka Nairobi
 
Haya ndiyo maneno aliyoyaandika Joshua Nassari.

Nimemsikia ndg Polepole. Nipo Nairobi, nikirejea tu nyumbani ...nitaweka hadaharani ushahidi huu usiokuwa hata na chembe moja ya shaka. Ili tuone kama kweli CCM itachukua hatua kwa wateule wa Rais.
[HASHTAG]#arumerukwanza[/HASHTAG]
[HASHTAG]#tanzania[/HASHTAG] [HASHTAG]#fightcorruption[/HASHTAG].

Mlisema Arusha hata muweke Jiwe CCM haina chake, sasa yote haya ni ya nini? Kwa nini msiache CCM waumbuke?
 
Kabla ya ushahidi huu wa madiwani wangetuwekea ule wa 10m walopewa wabunge wenzao wa ccm ili kupitisha mswada.
 
Akili za nyumbu zinajielewa. Hivi unadhani huo ni ushahidi wa electronic aliou-upload kwenye flash disk ni kama makaratasi unaweza kumpora na kuuchoma moto kama ilivyochomwa moto Nissan moja pale Morogoro juzijuzi?!
Unasema?!
 
Nassari sa ingine namuona kama mjinga mjinga sana. Sasa anaremba nini kuweka ushahidi wake hadharani. Mwisho atanyang'anywa aseme kaonewa.

Kama hataki kuutoa ushahidi, akae kimya watu waendelee na maisha yao. WaPumbafu! (in someone's voice)
Jamaa mshamba mshamba fulani hivi, anakuwa kama sio mtoto wa mjini?
Ukimcheki yeye na Lema kama wakolomije fulani hivi, afu hawakui sasa.

Kama ushahidi weka, kuchokonoa chokonoa ni ushamba kama huu wa Bashite
 
Back
Top Bottom