Joshua Nassari avuliwa Ubunge wa Arumeru Mashariki kwa “Utoro” Bungeni

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,582
6,627
33F2805B-D2A1-4452-8D20-5B10B3A5201C.jpeg


Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari anadaiwa kuvuliwa ubunge kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kushindwa kuhudhuria mikutano mitatu ya bunge, jambo ambalo ni kinyume na sheria na taratibu za Bunge.

Nafasi yake imebaki wazi.

B38B9906-B0F0-48C7-AB39-00A4530E08D6.jpeg


UPDATE:

JamiiForums imemtafuta Mbunge huyo ambaye amesema hana taarifa rasmi naye ameona taarifa zikisambaa mitandaoni.

Aidha, ameifahamisha JamiiForums kuwa mapema Januari (tarehe 29) mwaka huu aliwasiliana na Ofisi ya Spika na kueleza juu ya kushindwa kuhudhuria vikao vya Bunge.

Sehemu ya Barua yake kwa Spika inasomeka:

Dear Mr. Speaker.

REF: PARLIAMENT PROCEEDINGS

I am writing to keep your esteemed office informed that, I amregrettably unable to attend the currently ongoing Bunge proceedings because of circumstances beyond my reach.

For quite sometimes now, I have been attending my significant other who is receiving medical attention outside the country. The good news is, she managed to give birth to a healthy baby girl two days ago.

However, her medical specialists have advised that they will need to closely monitor her progress for couple of weeks before we can make our way back to the country.

I reiterate my desire to attend the upcoming sessions as scheduled upon my return.


All my Best,

Joshua Nassari (MP)

EC6B890F-659D-4CC3-9355-7811CD673F4D.jpeg
 
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungana wa Tanzania, Job Ndugai amemuandika barua, Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Semistocles Kaijage kuwa Jimbo la Arumeru Mashariki kwa sasa liko wazi kufuatia, Mbunge wake Joshua Nasari ( CHADEMA) kushindwa kuhudhuria mikutano mitatu mfululizo na hivyo kupoteza sifa za kuendelea kuwa mbunge.
FB_IMG_1552574457746.jpeg
FB_IMG_1552574450331.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungana wa Tanzania, Job Ndugai amemuandika barua, Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Semistocles Kaijage kuwa Jimbo la Arumeru Mashariki kwa sasa liko wazi kufuatia, Mbunge wake Joshua Nasari ( CHADEMA) kushindwa kuhudhuria mikutano mitatu mfululizo na hivyo kupoteza sifa za kuendelea kuwa mbunge.View attachment 1045634View attachment 1045635

Sent using Jamii Forums mobile app
Huh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Ndugai ametumia sheria hilo ni sawa kabisa. Labda CCM na Chadema wote watajifunza maana ya utawala wa sheria hapo. Najua wengi watasema Ndugai asingefanya hivyo kama Nassari angekuwa mbunge wa CCM. Mkisema hivyo mtoe mifano ya mbunge wa CCM aliekosa mikitano mitatu vya Bunge mfululizo bila ruhusa ya Spika na hakuachishwa ubunge.
 
Back
Top Bottom