Joshua Nassari 'avaa viatu' vya wa Appolo

Nikiwa kama mtanzania ninayeishi uk naanzisha harambee ya kununua mask na na miwani ya kuzuia macho yasidhurike na mabomu ya askari wa ccm ffu chadema inapofanya mikutano,maana sasa lazima tujitolee kwa hali na mali kuikomboa nchi yetu kaburu aliwauwa akina solomoni mahlangu akina steve biko lakini mauwaji na mabomu na mbwa kuuma watu na kumuweka mandela ndani kwa miaka 27 haikurudisha nyuma mapambano ya kuwaondoa makaburu na leo afrika kusini ni nchi huru na ccm ifahamu vijana wananguvu kuliko ffu na polisi wao iko siku tutasema sasa basi na hapo kikwete na maswahiba zake watakumbukwa kwa uandaaji wao wa umwagaji wa damu is amatter of time bomu la tz likilipuka hakuna atakayesalimika ndani ya ccm maana lazima kuwashugulikia kwa njia hiyo hyo wanayoitumia.nitajitolea mask 1000 na miwani yake kwa kuanzia hili
 
Lakini sa zingne tuangalie na vitu vya kusifia. Sasa huko shimoni amewasaidiaje hao wanaapolo? Je kama angepata matatizo kwenye shmo?

kwani hao wachimbaji wadogowadogo wanaopata matatizo huko shimoni inakuwaje??
Nasari ni tumaini jipya kwa walalahoi.
Dogo janja tunakuamini, tunakutegemea.
 
Lakini sa zingne tuangalie na vitu vya kusifia. Sasa huko shimoni amewasaidiaje hao wanaapolo? Je kama angepata matatizo kwenye shmo?

Kwani wanao pata matatizo huko shimoni siyo watu? ilikuwa ni muhimu kwake kujua ukweli kwani hiyo kweli ndio itamsaidia kujua aanzie wapi kujenga hoja za kuweka mazingira mazuri kwa wachimbaji kuliko kubaki na nadharia za hovyo.
 
sasa akishatoka huko shimoni tusikie utekelezaji sio kuona na kukaa kimya haina haja ya kwenda kama huji kuchukua hatua! awe kama mwakyembe!!
 
Lakini sa zingne tuangalie na vitu vya kusifia. Sasa huko shimoni amewasaidiaje hao wanaapolo? Je kama angepata matatizo kwenye shmo?

utamsaidia vp mtu bila kujua matatizo yake?ameingia kaona matatizo sasa subiri atafanya nini,anaweza kuwapa mitaji midogo au akawaunganisha watu wakachangia na kununua zana nzuri na bora.unahoji kimagamba kawa yanavyokuwa bungeni yanajibu maswali.think acha fikra mgando.
 
Jambo zuri siku zote lazima lipongezwe.Alichofanya Nasari ni cha kusifiwa hata kama ni hatari kama unavyodai.

Kijana huyo alifunga roho akashuka shimoni hali akijuwa ni hatari miamba inaweza kuachia na kumfunika,lakini atayajuwaje matatizo ya wachimbaji kama hajaona kwa kuona na kugusa.

Ni vizuri sana viongozi wetu wakajaribu kuyaishi maisha ya wanaowaongoza ili kuweza kuwasaidia.Ni viongozi wangapi wanajitoa namna hii.

Mwakyembe na Balozi Kagasheki wanajaribu na matokeo ya utendji wao unaonekana machoni pa watu.Na hii ni kwasabau wameenda mbali na kuona shida zilizopo. Panapostahili sifa tutoe ndugu zangu.Nasari ni wa kupongezwa.

KIGUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
 
ameshuka manta kupiga diga na kusomoa viroba, na kwa taarifa yenu alishuka zaidi ya mkanda.

Asante mbunge ujionee ugumu mwenyewe, halafu kina zombe wanatupora kirahsi kisha kutuua wakisema majambazi.


Tanzanite for Tanzania, n not SA
 
Wewe chama kweli unapaswa kujiunga chadema na uangalie hapo ulipokuwa ndio utakapojua kuwa ccm critics wana haki. Angalia wanachadema wengi walikuwa ccm. What are you waiting for? Achia hizo nyazifa zote then uone utakavyokuwa shujaa wa ukweli.
 
Back
Top Bottom