Joshua Nassari ashambuliwa na kujeruhiwa huko Makuyuni, vurugu zatawala!

Status
Not open for further replies.
Chadema mnafanya haya kwa kuwa mnajuwa wa kumnyooshea kidole ni nani, mnataka kuaminisha watanzania kuwa ninyi mnaonewa ili mpate huruma ya wananchi huu ni uhuni unaopaswa kupingwa kw nguvu zote, kw nn kila ni nyinyi tuu .wenye kufikiri zaidi lazima wajiulize sana kuhusu hili.

laiti ningekuwa nimepewa posho ya kupiga porojo za kipropaganda....kwa hili la arusha ningeweka utu,ubinadamu na utanzania mbele kwani damu iliyo mwajika haikiwa na hatia ni damu ya watanzania wenzetu...lakini wewe umeweka posho mbele na kukurupuka kupost upuuzi, kwa walio weledi kama mimi tunaona unatumia masaburi kufikiri. utalaaniwa tu
 
Mwai kibaki alipewa nchi kwa mbwembwe nyingi wakidhani kwamba kuongoza nchi ni kama kuiongoza familia ya watu unaowalisha na kuwalipia school fees baada ya term moja tu ya kuwa madarakani ndipo wananchi wa kenya wakashtuka,I wish itokee bongo japo na nyie mpate miaka mitano tu ya kuvaa suite na cyo kombati tena

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mkuu hujuwi kuwa chama chako cha chadema ndiyo chanzo cha vurugu kwani kipindi hakikuwepo vurugu zilikuwope.

Yawezekana ni kweli CDM wanahusika na vurugu zinazotokea sasa kwa sababu zifuatazo;
1. Uelewa wao wa siasa za nchi na mbinu chafu zinazokipa ushindi chama tawala ni mkubwa! Kutokana na uelewa huo, wanapotafuta haki hujikuta wanafanya fujo.
2. Kukua kwa uelewa kwa wananchi - Chadema wanawafungua macho watanzania kwa dhurma zinazofanywa na serikali ya CCM! Wananchi wakifaham ukweli huja juu kudai haki yao na hapo ndipo fujo zinapotokea na chadema huhusishwa!
3. Yawezekana ni njama za CCM kuwachafua CDM ili kujaribu kudhoofisha upinzani kwa mara nyingine!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Pole sana kamanda ila usiwape nafasi hata kidogo hawa magamba.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Huyu nae legelege sana, kutoka damu puani ndio mpaka aende hospitali.

Labda anajijua ni legelege sana ndio maana alikacha kuripoti kambini JKT wakati wabunge wenzake kina Halima Mdee, Ester, Zitto na Mwigulu walilipoti na kumaliza mafunzo na sasa ni wakakamavu.
 
Chadema sio chama cha fujo jamini fujo zote wanaoleta ni ccm na police.lakini kweli mwisho sasa unafika kwa nini wasikubali kushidwa?dunia nzima inaangali hili na inawezekana mambo mengi yakabadilika kupitia haya yanayotokea kwenye uchaguzi wa madiwani
 
Chadema mnafanya haya kwa kuwa mnajuwa wa kumnyooshea kidole ni nani, mnataka kuaminisha watanzania kuwa ninyi mnaonewa ili mpate huruma ya wananchi huu ni uhuni unaopaswa kupingwa kw nguvu zote, kw nn kila ni nyinyi tuu .wenye kufikiri zaidi lazima wajiulize sana kuhusu hili.

hivi we mwanamke ni mgumba nini?angalia hii picha hapa chini halafu urudi ni hii post yako ya ki.....

athari za mabomu.jpg
 
Chadema mnafanya haya kwa kuwa mnajuwa wa kumnyooshea kidole ni nani, mnataka kuaminisha watanzania kuwa ninyi mnaonewa ili mpate huruma ya wananchi huu ni uhuni unaopaswa kupingwa kw nguvu zote, kw nn kila ni nyinyi tuu .wenye kufikiri zaidi lazima wajiulize sana kuhusu hili.

kwahiyo ulikuwa unataka chadema wakipigwa waseme wamejigonga kwenye miti bahati mbaya?ili nini?ccm dalili za maji kuzidi unga zilishaonekana long tym.
 
Chadema mnafanya haya kwa kuwa mnajuwa wa kumnyooshea kidole ni nani, mnataka kuaminisha watanzania kuwa ninyi mnaonewa ili mpate huruma ya wananchi huu ni uhuni unaopaswa kupingwa kw nguvu zote, kw nn kila ni nyinyi tuu .wenye kufikiri zaidi lazima wajiulize sana kuhusu hili.

Akili zako umezificha wapi ? Hivi ni nani aliye tayari kujiumiza ili apate huruma? Kama umehudhuria mikutano ya CHADEMA na CCM ungekuwa honest enough kutambua ni nani anayetafuta kuhurumiwa kati ya CDM na CCM. Tatizo lako la kukurupuka bila kujua nini kinaendelea duniani na kutumiwa vibaya na magamba ndicho kinawaponza
 
mkuu kama uchaguzi arusha umeahirishwa kwanini makamanda msiende kuongeza nguvu huko makuyuni. kalianzisheni huko liwalo na liwe kwanini wanachadema mnauliwa kimya kimya na tai shingoni wakati mpo wengi na nguvu mnazo.
 
Labda anajijua ni legelege sana ndio maana alikacha kuripoti kambini JKT wakati wabunge wenzake kina Halima Mdee, Ester, Zitto na Mwigulu walilipoti na kumaliza mafunzo na sasa ni wakakamavu.

Kama wewe si legelege jitokeze upigwe ngumi mbili au rungu puani tuone nini kitatoka. kwa upumbavu huo huo nieleze mtu asiye legelege akipigwa anatakiwa asiumie au?
 
hata kama kapigwa kidogo,mkuu majebere nisaidie sheria gani inayoruhusu kupigana kidogo kwenye siasa.
 
saa ya ukombozi inafika sasa na kupitia huu uchaguzi haki inatendeka subirini mtaona hakuna wa kuonewa tena kipindi hiki ndugu zangu.
 
Hayawi hayawi mpaka yatakuwa sasa!
Hapatatosha kudadeki!

Ngoja niangalie spear tyre kama ina upepo wa kutosha na mafuta na full gwanda nielekee hapo Makuyuni.

Haikubaliki unyanyasaji wa namna hii.
Nimechafukwa na nafsi.
 
Huku kutafuta madaraka kwa nguvu kutatupeleka kubaya. Wanajua lazima kidole kinyooshewe kwa watu fulani lakini hawajui hizi chuki wanazojijenga ndio zinapalilia vita vya sisi kwa sisi. Naumia sana kuona watu hawatumii akili kufikiria bali wanawatetea Chadema kwa kila kitu. Ni kweli CCM imeshindwa baadhi ya vitu but kushindwa huku hakuhalalishi kueneza chuki hii inayofanywa na Chadema. Tukumbuke kuwa tutakapoanza kuuana sisi kwa sisi hawa viongozi wote wa CCM na Chadema watakwenda nchi jirani na kukaa huko wakituangalia sisi walalahoi tunavyochinjana. Leo hio wale walioasosi mauaji ya Rwanda wapo jela wamefungwa. Lakini tujiulize huko kufungwa kwao kunarudisha uhai wa maelfu ya watu waliokufa kwa uroho wao wa kutafuta madaraka kinguvu? Mbona hawakusimama mbele wakati wa machafuko? Iweje wakimbilie uhamishoni wao na familia zao wakati wao ndio waasisi wa hayo machafuko? Ndugu zangu let us think big. Huu u-CCM na u-Chadema usitufanye tukawa mazuzu wa kufikiria. Nina uhakika kabisa hili tukio halipangwa na CCM bali watu ambao wanajua wazi wakifanya hivyo chuki zitaelekezwa kwa CCM. Watu wenye maslahi na Chadema.
Unaandika ushenzi mtupu eti tutakapoanza kuuwana sisi kwa sisi yaani hao wanauawa ni mbuzi au ng'ombe? Angepigwa baba au mama yako haya mabomu na kuuliwa ungalikuja hapa kuandika ujinga huu? Fikiri kidogo tu hata kama huu uufisadi unakufaidisha kiasi kikubwa vile kumbuka na wengine hasa hawa ndugu zetu waliopoteza maisha kasha uroho wa mafisadi yaliyobobea bembea za kitoto.
 
Chadema mnafanya haya kwa
kuwa mnajuwa wa kumnyooshea kidole ni nani, mnataka kuaminisha
watanzania kuwa ninyi mnaonewa ili mpate huruma ya wananchi huu ni uhuni
unaopaswa kupingwa kw nguvu zote, kw nn kila ni nyinyi tuu .wenye
kufikiri zaidi lazima wajiulize sana kuhusu hili.

Tumbavu mkubwa wewe, nani anapenda kuigiza matatizo? unafikiri kwa kutumia kichwa au makalio?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom