Joshua Nassari ashambuliwa na kujeruhiwa huko Makuyuni, vurugu zatawala!

Status
Not open for further replies.
Chadema mnafanya haya kwa kuwa mnajuwa wa kumnyooshea kidole ni nani, mnataka kuaminisha watanzania kuwa ninyi mnaonewa ili mpate huruma ya wananchi huu ni uhuni unaopaswa kupingwa kw nguvu zote, kw nn kila ni nyinyi tuu .wenye kufikiri zaidi lazima wajiulize sana kuhusu hili.
Wewe ni Mtanzania kweli? Maana kama wewe ni Mtanzania, basi unajua kuwa TANZANIA hakuna kitu kinachoitwa huruma, achilia mbali KURA ya huruma. Kama huruma ingekuwepo, huruma inayotokana na kutolewa damu kijambzi, basi angeonewa huruma Dr. Ulimboka, Absalom Kibanda, Saidi Kubenea na Ndimara Tegabwage. NI VEMA SOTE KWA PAMOJA TUKAVIKEMEA VITENDO HIVYO VYA KIDHALIMU. Si CCM wala CHADEMA itakuwepo milele, lakini TANZANIA itakuwepo milele. Nakushauri uwaombe radhi Watanzania!
 
Bila shaka atakuwa kajiingiza kidole puani ili atoke damu nae aonekane shujaa na kuonewa huruma na watz. Duh kamanda Nassari unatia aibu kamuulize Lipumba maswahibu aliyokutana nayo hata hospitali hakwenda ila yeye na gwanda lake mbio mbio kutoa taarifa

Ukamanda kazi jamani
 
Chadema mnafanya haya kwa kuwa mnajuwa wa kumnyooshea kidole ni nani, mnataka kuaminisha watanzania kuwa ninyi mnaonewa ili mpate huruma ya wananchi huu ni uhuni unaopaswa kupingwa kw nguvu zote, kw nn kila ni nyinyi tuu .wenye kufikiri zaidi lazima wajiulize sana kuhusu hili.
Hata mkeo anapata sana shida na maamuzi yako kwa sababu unafikiria kwa kutumia tumbo!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Chadema mnafanya haya kwa kuwa mnajuwa wa kumnyooshea kidole ni nani, mnataka kuaminisha watanzania kuwa ninyi mnaonewa ili mpate huruma ya wananchi huu ni uhuni unaopaswa kupingwa kw nguvu zote, kw nn kila ni nyinyi tuu .wenye kufikiri zaidi lazima wajiulize sana kuhusu hili.
hata CUF,TLP na NCCR Mageuzi walifanyiwa haya lakini hatukuweza kupambanua kuwa hizo ni mbinu chafu za CCM. Nakumbuka CUF na visu kontena na kikundi cha kigaidi hadi sasa wamemalizwa nguvu.
Hii ndio Tanzania zaidi ya uijuavyoo.
 
We jamaa ni mngese sana,akili yako sijui hua inawaza nini.
 
Alaf nyie kushindwa mbona ni jambo la kawaida kwenu mbona mnajifanya hamjalizoea acheni unafiki na kutafuta sababu mlishinda lini
 
....Uchaguzi mdogo wa IGUNGA Aden Rage alipanda jukwaani na BASTOLA kiunoni... Mahakama Kuu ikaoni ni kosa.. lakini MAHAKAMA YA RUFAA ikatengua.. Makubwa!!!!
 
hata CUF,TLP na NCCR Mageuzi walifanyiwa haya lakini hatukuweza kupambanua kuwa hizo ni mbinu chafu za CCM. Nakumbuka CUF na visu kontena na kikundi cha kigaidi hadi sasa wamemalizwa nguvu.
Hii ndio Tanzania zaidi ya uijuavyoo.

ni kweli kabisa ,cuf walipigika sana kule pemba
 
ni kitugani kimekupa uhakika kua walifanya vurugu ni CCM?? wamajibandika kadi zao usoni?? ninikinakufanya usee huyu ni CCM? na huyu sio

Takataka kama nyie hamfai kuishi dunia hii
 
There you are! Hiki ndicho kinafanya mawazo yenu yakawa ni kuiondoa tu CCM madarakani kwa gharama yoyote ile bila kuthamini amani na mustakabali wa taifa letu.

Ni kwa sababu nyie mnataka kubakia madarakani kwa gharama yoyote bila kuthamini amani na mustakabali wa taifa letu. Na nyie ndio mmetuchokoza watanzania kwa kuanzisha mauaji ya raia wasio na hatia. Kwa kuwa ninyi CCM mmeishaanza mauaji, sisi watanzania tukianza kukamatakamata wanaCCM mitaani kwetu itakuwa ni kwa ajili ya kulipa kisasi tu
 
Kata ya Makuyuni ipo jimboni kwa Lowassa, anayedaiwa na ccm kuwa ni jembe. Itakuwa aibu kubwa sana kata hiyo ikichukuliwa na CDM, kwa hiyo watafanya lolote wabaki nalo - kwa mbinu zozote (HALALI AU ZA HILA), mojawapo ikiwa hili wafanyalo
 
Chadema mnafanya haya kwa kuwa mnajuwa wa kumnyooshea kidole ni nani, mnataka kuaminisha watanzania kuwa ninyi mnaonewa ili mpate huruma ya wananchi huu ni uhuni unaopaswa kupingwa kw nguvu zote, kw nn kila ni nyinyi tuu .wenye kufikiri zaidi lazima wajiulize sana kuhusu hili.
Ila kwa namna hii nahofia kama kweli binadamu akifa unatakiwa kusema haya,at least richa ya mapenzi Binafsi subiri Machungu ya wafiwa yatulie,Hizi tamaa za Mafanikio kila mtu anazo,But,buuuuuuuuuuuuuuuuuuuut we are not after f*ken symphasy you are asking for.
 
Chadema mnafanya haya kwa kuwa mnajuwa wa kumnyooshea kidole ni nani, mnataka kuaminisha watanzania kuwa ninyi mnaonewa ili mpate huruma ya wananchi huu ni uhuni unaopaswa kupingwa kw nguvu zote, kw nn kila ni nyinyi tuu .wenye kufikiri zaidi lazima wajiulize sana kuhusu hili.
Wale uvccm waliowekwa kambini kupewa mafunzo ya kijeshi sijui ndio kazi yao kuwatia adabu kina nassari?
 
Chadema mnafanya haya kwa kuwa mnajuwa wa kumnyooshea kidole ni nani, mnataka kuaminisha watanzania kuwa ninyi mnaonewa ili mpate huruma ya wananchi huu ni uhuni unaopaswa kupingwa kw nguvu zote, kw nn kila ni nyinyi tuu .wenye kufikiri zaidi lazima wajiulize sana kuhusu hili.

# MNAMBOWA embu be realistic dont justify everything
Wewe kwa mtazamo wako, kweli kabisa kutoka moyoni unadhani unatakiwa kuongea hivyo?
Mfano. Ingekuwa imetokea kwako mtoto wako amefanya kaso kubwa ambalo lime cost maisha ya mwana familia unge handle vipi such situation
Ungemlaumu mtoto ?
Mimi ningekulaumu wewe!
Tuache lawama kilichitokea Arusha serikali ina uwezo na ilikuwa ina uwezo wa kuzuia mbona Chadema hawavamii makusanyiko ya ccm wanavamia ya kwao tu na kujiua ili wa win our sympathy?
HELL NO!
Na sisi tuna reason baana endeleeni Mtajibu day moja
 
daa!honger umejitahid kufikiria kadir ya upumbavu wako...xo hata tukio la jana la kigaidi we unafikiria nn...acha ujinga ww badirika!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom