Joshua Nassari ashambuliwa na kujeruhiwa huko Makuyuni, vurugu zatawala!

Status
Not open for further replies.
Chadema mnafanya haya kwa kuwa mnajuwa wa kumnyooshea kidole ni nani, mnataka kuaminisha watanzania kuwa ninyi mnaonewa ili mpate huruma ya wananchi huu ni uhuni unaopaswa kupingwa kw nguvu zote, kw nn kila ni nyinyi tuu .wenye kufikiri zaidi lazima wajiulize sana kuhusu hili.

Huku kutafuta madaraka kwa nguvu kutatupeleka kubaya. Wanajua lazima kidole kinyooshewe kwa watu fulani lakini hawajui hizi chuki wanazojijenga ndio zinapalilia vita vya sisi kwa sisi. Naumia sana kuona watu hawatumii akili kufikiria bali wanawatetea Chadema kwa kila kitu. Ni kweli CCM imeshindwa baadhi ya vitu but kushindwa huku hakuhalalishi kueneza chuki hii inayofanywa na Chadema. Tukumbuke kuwa tutakapoanza kuuana sisi kwa sisi hawa viongozi wote wa CCM na Chadema watakwenda nchi jirani na kukaa huko wakituangalia sisi walalahoi tunavyochinjana. Leo hio wale walioasosi mauaji ya Rwanda wapo jela wamefungwa. Lakini tujiulize huko kufungwa kwao kunarudisha uhai wa maelfu ya watu waliokufa kwa uroho wao wa kutafuta madaraka kinguvu? Mbona hawakusimama mbele wakati wa machafuko? Iweje wakimbilie uhamishoni wao na familia zao wakati wao ndio waasisi wa hayo machafuko? Ndugu zangu let us think big. Huu u-CCM na u-Chadema usitufanye tukawa mazuzu wa kufikiria. Nina uhakika kabisa hili tukio halipangwa na CCM bali watu ambao wanajua wazi wakifanya hivyo chuki zitaelekezwa kwa CCM. Watu wenye maslahi na Chadema.
 
Wewe ni mwanamke mpumbavu sana, sasa mtu kashambuliwa anaripoti wewe unasema anatafuta huruma. Kama nyie CCM hamtaki CHADEMA ipate huruma za wananchi kwa nini muwe ndio chanzo cha vurugu na kuua watu. Nyie CCM mnaelekea kuzimu, your days are numbered.
 
Huku kutafuta madaraka kwa nguvu kutatupeleka kubaya. Wanajua lazima kidole kinyooshewe kwa watu fulani lakini hawajui hizi chuki wanazojijenga ndio zinapalilia vita vya sisi kwa sisi. Naumia sana kuona watu hawatumii akili kufikiria bali wanawatetea Chadema kwa kila kitu. Ni kweli CCM imeshindwa baadhi ya vitu but kushindwa huku hakuhalalishi kueneza chuki hii inayofanywa na Chadema. Tukumbuke kuwa tutakapoanza kuuana sisi kwa sisi hawa viongozi wote wa CCM na Chadema watakwenda nchi jirani na kukaa huko wakituangalia sisi walalahoi tunavyochinjana. Leo hio wale walioasosi mauaji ya Rwanda wapo jela wamefungwa. Lakini tujiulize huko kufungwa kwao kunarudisha uhai wa maelfu ya watu waliokufa kwa uroho wao wa kutafuta madaraka kinguvu? Mbona hawakusimama mbele wakati wa machafuko? Iweje wakimbilie uhamishoni wao na familia zao wakati wao ndio waasisi wa hayo machafuko? Ndugu zangu let us think big. Huu u-CCM na u-Chadema usitufanye tukawa mazuzu wa kufikiria. Nina uhakika kabisa hili tukio halipangwa na CCM bali watu ambao wanajua wazi wakifanya hivyo chuki zitaelekezwa kwa CCM. Watu wenye maslahi na Chadema.

acha tabia ya mbuni!
 
Wewe ni ---- hujui siasa ungejuwa siasa usingeongea maneno kama hayo mtu amejeruhiwa badala umpe pole unaleta usenge kama hao jamaa zako wa ccm kum###### mkubwa we
 
Huku kutafuta madaraka kwa nguvu kutatupeleka kubaya. Wanajua lazima kidole kinyooshewe kwa watu fulani lakini hawajui hizi chuki wanazojijenga ndio zinapalilia vita vya sisi kwa sisi. Naumia sana kuona watu hawatumii akili kufikiria bali wanawatetea Chadema kwa kila kitu. Ni kweli CCM imeshindwa baadhi ya vitu but kushindwa huku hakuhalalishi kueneza chuki hii inayofanywa na Chadema. Tukumbuke kuwa tutakapoanza kuuana sisi kwa sisi hawa viongozi wote wa CCM na Chadema watakwenda nchi jirani na kukaa huko wakituangalia sisi walalahoi tunavyochinjana. Leo hio wale walioasosi mauaji ya Rwanda wapo jela wamefungwa. Lakini tujiulize huko kufungwa kwao kunarudisha uhai wa maelfu ya watu waliokufa kwa uroho wao wa kutafuta madaraka kinguvu? Mbona hawakusimama mbele wakati wa machafuko? Iweje wakimbilie uhamishoni wao na familia zao wakati wao ndio waasisi wa hayo machafuko? Ndugu zangu let us think big. Huu u-CCM na u-Chadema usitufanye tukawa mazuzu wa kufikiria. Nina uhakika kabisa hili tukio halipangwa na CCM bali watu ambao wanajua wazi wakifanya hivyo chuki zitaelekezwa kwa CCM. Watu wenye maslahi na Chadema.
Kwa taarifa yako vijana wote tuko CHADEMA na CUF, CCM mmebakia wazee tu. 2015 tutawazika mkiwa hai kama wanavyozikwa wale wazee wachawi kule usukumani kama mtadiriki kuleta vurugu. Maana wakati huo kila mwana CCM atakuwa anajulikana, wale wateule watapata ulinzi wa CCM lakini nyie walalahoi tuko wote mitaani so moto mtauona
 
Wana Jf,
Hali si shwari katika uchaguzi mdogovwa makuyuni, CCM wamevamia vituo vya kura, mawakala wa CHADEMA wamepigwa vibaya sana.

Kamanda Nassari naye kaumizwa vibaya sana.

Jamani watanzania tunaelekea wapi kwa hali hii?
Ee Mungu utusaidie sisi wanao!

Nina mashaka sababu ni kwamba chama chenu kinaongozwa na katekista. Tafuteni gaidi ukweli akae pale zianze kupigwa tu. hao ccm ni watu tunakaa nao mitaani, wana mafunzo ya mgambo ambayo kila mmoja wetu kapitia
 
Jamani! Ni nini tena kimetokea huko? Mwenye taarifa kamili na picha (ikiwezekana) atupiamo.
 
Nasari kwenye kituo cha kura alikwenda kufanya nini kwani yeye ni msimamizi au ni mpiga kura wa kituo hicho pole nasari.
 
Umeongea sana ila hujui unalolisema ungejua usinge sema nikuulize swali dogo tu hivi weweelimuyako ni ya kiwango gani maana naweza kujadiliana na mtoto wa chekechea bila kujijua so nijibu kwanza upo kiwango gani cha elimu.
 
mmhh sipati picha tanzania miezi sita ijayo itakuwa nchi ya namna gani...politicizing everything,
 
Uchaguzi wa Igunga Aden Rge aliingia jukwaani na BASTOLA kiunoni.......... Mahakama kuu iliona ni kosa lakini Rufaa imeona sio kosa... Makubwa...
 
Kwa taarifa yako vijana wote tuko CHADEMA na CUF, CCM mmebakia wazee tu. 2015 tutawazika mkiwa hai kama wanavyozikwa wale wazee wachawi kule usukumani kama mtadiriki kuleta vurugu. Maana wakati huo kila mwana CCM atakuwa anajulikana, wale wateule watapata ulinzi wa CCM lakini nyie walalahoi tuko wote mitaani so moto mtauona
Mkuu kunapost inasema nasari kashambuliwa kama kweli tangu lini wazee wakashambulia mtu kama ccm hakuna vijana.
 
Kwa taarifa yako vijana wote tuko CHADEMA na CUF, CCM mmebakia wazee tu. 2015 tutawazika mkiwa hai kama wanavyozikwa wale wazee wachawi kule usukumani kama mtadiriki kuleta vurugu. Maana wakati huo kila mwana CCM atakuwa anajulikana, wale wateule watapata ulinzi wa CCM lakini nyie walalahoi tuko wote mitaani so moto mtauona

There you are! Hiki ndicho kinafanya mawazo yenu yakawa ni kuiondoa tu CCM madarakani kwa gharama yoyote ile bila kuthamini amani na mustakabali wa taifa letu.
 
Mkuu hujuwi kuwa chama chako cha chadema ndiyo chanzo cha vurugu kwani kipindi hakikuwepo vurugu zilikuwope.

kwa Mara ya kwanza katika utawala wa ccm wametambua kuwa kumbe kunauwezekano mkubwa wa kuachia nchi.
Kenge hata umchape vipi bila damu kumtoka hasikii maumivi. baada ya wananchi wengi kuikataa ccm sehemu nyingi tena hadharani. ccm ndio imeanza kusikia maumivi ya siasa.

wananchi wengi tunatambua hizo ni mbinu za kuwapumbaza wananchi ionekane Chadema chama cha vurugu.

tupo pamoja na chadema mpaka dak. ya mwisho.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom