Joshua Nassari ana wakati mgumu sana kushinda ubunge Arumeru kutokana na mila zao

Geza Ulole,
Nadhani nyie Chadema ndio mgetueleza kwa nini viongozi wenu pamoja na wabunge wenu hawajaolea wala kuoa kama utapenda takutajia.
mafisadi
 
Hivi unajua mbinu wanayoitumia Chadema saizi wanasomba vijana kutoka maeneo ya Karatu na majimbo mengine kuleta kwenye mikutano yao.

Mikutano inajaa watu lakini mwisho wa siku vijana hao wanaosombwa hawataruhusiwa kupiga kura.

Ni bora mkutano wako uhudhuriwe na watu 20 watakaokupigia kura kuliko kuhudhuriwa na 100 ambao hakuna hata mmoja atakaekupigia kura.

hayo magari umeyaona? ngoja niishie hapo. kuna kipindi ulinisababishia ban
 
kwani na yeye anavaa hereni?HATA HIVYO HIZO KURA 19,000 ZILIKUWA ZA WATOTO ...SIKU HIZI UMRI WA KUPIGA NA KUIGIWA KURA UMEBADILIKA?
hata hao wenye wake wametusaidia nini zaidi ya kutuibia kama mkapa na mke wake kampuni binafsi ikulu
 
Nawaonea huruma sana hawa wadogo zangu,
CCM hii ndio baba ndio mama......
Ukiwa na baba mpuuzi na mama jingajinga, shenzi shenzi utafanyaje??

hali+mbaya.jpg
 
Mtu ambae atakayakwenda kumaliza kazi kabisa ni Edward Lowassa, kwa kutumia mtandao wake wa uongozi wa kimila katika jamii za Wameru na Wamasai, kimsingi mila na desturi zao hazitofautiani sana..

Laigwanani Mkuu ni kiongozi Mkuu wa kimila wa jamii ya Wamasai. Kwa sasa mtu mwenye kofia hiyo kwenye jamii ya wamasai ni Lowassa.

Ambaye anaheshemika sana kwa jamii za watu wa Arusha na Manyara.

Anategemewa kwenda Arumeru Mashariki wiki moja kabla ya uchaguzi.
 
kwani mwanzoni alipogombea alikuwa mkubwa na sasa amekuwa mdogo?Acheni hizo ujinga huo pelekeni hukoooo
 
Cmpo xana, ukiwa na akili za kuchukua kigezo cha umri, hata wanao wataenda shule na miaka 16, kumbuka rais wa marekan john kennedy alivyofanya makubwa, au nyerere alichukua nchi akiwa na umri gn? Kama hujui, nyamaza uisubir hukumu tar 1april.
 
Tatizo ni mila na desturi za Wameru na Wamasai ambao wengi wao ndio wakazi wa Arumeru.

Na hawataki siasa zivuruge mila zao wazee wa Ngarananyuki na Usa River wanasema.
Nafikiri kwa hoja hiyo mashiko yake ni kwa wapiga kura wanaoishi pembezoni mwa AM lakini ndani ya AM mambo ni tofauti kabisa, jiulize walikuwa wapi na hoja hiyo 2010? Zile kura alizopata zilikuwa za watoto au? utafiti unaonyesha kuwa ccm ilishafikia saturation point sasa ni wakati wa kuanguka hakuna namna ndio maana Igunga CDM ilitoka 0% mpaka 46% na AM tunatafuta chache kama 16-18% kushinda sasa wewe baki na hoja zako zisizo na maana usubiri mahesabu yatakapokuwa hadharani.
 
Mzee Elimeleki, wa Usa River anasema "Uongozi wa mtu unapimwa kuanzia kwenye familia yake. Kama ni kiongozi wa ovyo, utaona anavyoishi na familia yake. Kama ni kiongozi mzuri, utaona familia yake inavyoishi kwa kuheshimu mila na pia kumheshimu mungu kwa kushiriki shughuli za kanisa...sasa huyu Nassari tutampima wapi jamani?

wali.jpg

Hii ndo janja ya Magamba sasa huko Arumeru mpunga wanalima wenyewe
 
Mtu ambae atakayakwenda kumaliza kazi kabisa ni Edward Lowassa, kwa kutumia mtandao wake wa uongozi wa kimila katika jamii za Wameru na Wamasai, kimsingi mila na desturi zao hazitofautiani sana..

Laigwanani Mkuu ni kiongozi Mkuu wa kimila wa jamii ya Wamasai. Kwa sasa mtu mwenye kofia hiyo kwenye jamii ya wamasai ni Lowassa.

Ambaye anaheshemika sana kwa jamii za watu wa Arusha na Manyara.

Anategemewa kwenda Arumeru Mashariki wiki moja kabla ya uchaguzi.
Kumbe bado anawafaa?? Kama kweli ataingia kwenye kampeni basi mmekwisha maana kitaifa kuondoa hilo kovu yahitaji neema si kwanguvu za kibinadamu...
 
quote_icon.png
By ritz

Mzee Elimeleki, wa Usa River anasema "Uongozi wa mtu unapimwa kuanzia kwenye familia yake. Kama ni kiongozi wa ovyo, utaona anavyoishi na familia yake. Kama ni kiongozi mzuri, utaona familia yake inavyoishi kwa kuheshimu mila na pia kumheshimu mungu kwa kushiriki shughuli za kanisa...sasa huyu Nassari tutampima wapi jamani?
Tuache ubishi hapo kura moja umepata.. hahahahahah
 
12.jpg

Huyu mzinzi amewakisilisha sana washirii kwa kampeni zake za matusi ya nguoni
 
Mzee Elimeleki, wa Usa River anasema "Uongozi wa mtu unapimwa kuanzia kwenye familia yake. Kama ni kiongozi wa ovyo, utaona anavyoishi na familia yake. Kama ni kiongozi mzuri, utaona familia yake inavyoishi kwa kuheshimu mila na pia kumheshimu mungu kwa kushiriki shughuli za kanisa...sasa huyu Nassari tutampima wapi jamani?

65.jpg

Kukata mayenu kwenye kampeni mnaweza, ndo kazi iliyo bakia hiyo
 
CCM ndio baba ndio mama.........
Watoto hawa wafanye nini? na hii ndio hali waliyoikuta?
Hali ya maisha waliyoandaliwa na CCM kwa miaka 50 iliyopita!!

1._Extreme_poverty.jpg
 
Back
Top Bottom