Joshua Nassari ana wakati mgumu sana kushinda ubunge Arumeru kutokana na mila zao

Sisi Arumeru tunaka kuongozwa na mtu makini kama nassari sio mtu wakubebwa kama sioi .Kama ajaoa hicho si kigezo mbona Padri aoi na anatungoza kwenye sara,ushauri na pia jamii hata siku moja hatuwezi kutamka mbona hana familia.Kigezo pale busara zake uwezo wake wa kuongoza familia yake kwetu aitusaidii maana hawezi kwenda nao Bungeni na wamsadie kutatua kero zetu.
 
Hakuna dhambi mbaya duniani kama fitina za chuki.Kitendo cha fitna za udini mlichofanya Igunga kitawatafuna mpaka siku ya kiyama
kwani hujui moja ya kanuni za kuwa mwanachama wa hicho chama!?
 
uchaguzi wa 2010 mbona Joshua alipata kura 27 000 na baba Sioi 30 000 baada ya kuchakachua!

Mkuu punguza basi uongo...mwaka 2010 Joshua Nassari alipata kura 19,123 tu, Jeremiah Sumari alipata kura 34,661
 
Wanabodi,
Kwa mujibu wa habari kutoka kwa wakazi wa Arumeru Mashariki wanasema mgombea wa Chadema Joshua Nassari, nafasi yake ya kuchukuwa kiti cha ubunge ni ndogo sana.

Katika mila zao Wamasai na Wameru hazitofautiani sana. Wazee wa kimila wamesikitishwa sana na kitendo cha Chadema kuwaletea mtoto ili awaongoze.

Wanasema Nassari, bado mtoto analelewa na wazazi wake, hana mke hana mtoto, hatuwezi kumpima hata kwa uongozi wa familia yake, anawezaje kuongoza wazee!

Wanasema Nassari mwenyewe anajua mila na desturi zetu Wameru, haziruhusu watoto kushiriki vikao vya wazee.

Nassari anajitetea kuwa mbona wengine hawajaoa kina David Silinde, Zitto Kabwe, Joseph Mbilinyi, John Mnyika.

Wazee wakamwambia hawa wote wana mila na desturi zao, inawezekana baadhi yao hawana hata mila moja.

Hiyo haiwezi kuhalalisha sisi tuvunje mila zetu kwa kuongozwa na watoto wadogo ambao wanalelewa na baba na mama.

Hizo mila desturi za Wameru na Wamasai ndio limekuwa tatizo kubwa kwa Jossua Nassari kushinda ubunge.

hayo yao wenyewe na wala siyo hoja mbona ufalme hata mimba inasubiriwa?Mila wanazo wao bwana.
 
Mkabila wewe ,ritz wewe ndo unayasema hayo ,unajua mwenyewe tu,Huko ni CDM tu.
 
Mimi ni mmeru,siku izi tumeelimika,huu wa ritz ni ***** tu,KAMA NI MILA YULE MKURYA CHAMBIRI ASINGESHINDA KWA WADUDU WA UNGA,.BABATI,Muiraq anashika mila mbaya mno.ccm mntafuta propaganda nitoke vipi.
 
Afadhali mi sio mzee maana siku hizi wazee wanasingiziwa hadi mambo ya kitoto. Na kuimbishwa nyimbo kama watoto wa chekechea.
 
Mkabila wewe ,ritz wewe ndo unayasema hayo ,unajua mwenyewe tu,Huko ni CDM tu.

Mkabila mie au wazee wa Arumeru?

Ebu msome huyu mzee wa Ngarananyuki, anasema " Ni kweli Nassari anao wazazi wake sawa, na alikuja nao kwenye mkutano, lakini hatuwachagui wazazi wake kuwa wabunge wetu, tunamchagua yeye.

Picha tuliyoiona pale alipowasimamisha wazazi wake, ni kwamba tumpe kura zetu za ubunge lakini mashauri yetu ya kimila yatashughulikiwa na baba na mama hawa hapa... Hiki ni kichekesho" alimaliza kusema huyo mzeze
 
Halafu wameru hawavai hereni!
 
Ni lini Wamasai au Wameru walimchagua mtoto mdogo kuwa kiongozi wa kimila?

Kwa maana moja ya kazi za mbunge katika jimbo ilo ni pamoja na kushiriki vikao vya wazee wa kimila. Na kikao vingine vya matambiko ambavyo haviruhusu watoto wadogo kushiriki...sasa hapo Nassari atakuwa mbunge wa kundi gani?
 
Wanabodi,
Kwa mujibu wa habari kutoka kwa wakazi wa Arumeru Mashariki wanasema mgombea wa Chadema Joshua Nassari, nafasi yake ya kuchukuwa kiti cha ubunge ni ndogo sana.

Katika mila zao Wamasai na Wameru hazitofautiani sana. Wazee wa kimila wamesikitishwa sana na kitendo cha Chadema kuwaletea mtoto ili awaongoze.

Wanasema Nassari, bado mtoto analelewa na wazazi wake, hana mke hana mtoto, hatuwezi kumpima hata kwa uongozi wa familia yake, anawezaje kuongoza wazee!

Wanasema Nassari mwenyewe anajua mila na desturi zetu Wameru, haziruhusu watoto kushiriki vikao vya wazee.

Nassari anajitetea kuwa mbona wengine hawajaoa kina David Silinde, Zitto Kabwe, Joseph Mbilinyi, John Mnyika.

Wazee wakamwambia hawa wote wana mila na desturi zao, inawezekana baadhi yao hawana hata mila moja.

Hiyo haiwezi kuhalalisha sisi tuvunje mila zetu kwa kuongozwa na watoto wadogo ambao wanalelewa na baba na mama.

Hizo mila desturi za Wameru na Wamasai ndio limekuwa tatizo kubwa kwa Jossua Nassari kushinda ubunge.

Hao wenye umri, mila, na waliooa tena mke zaidi ya mmoja wengine. Wameifikisha wapi hii nchi? Kumbe umri, ndoa na mila ndo vigezo katika siasa eeh? Ptu. . .a dying horse neighs more than normal.
 
Naona umemaliza kuandika upumbavu wako uliotumwa haya nenda kachukue posho kwenye ofisi za CCM.
 
Chadema wamekosea sana kumsimisha mtoto mdogo kwenye uchaguzi wa Arumeru Mashariki.

Kuna sehemu za kumsimamisha mgombea mwenye umri mdogo lakini sio Arumeru Mashariki.

Hawa jamaa wanaheshimu sana mila na desturi zao.
 
Ni lini Wamasai au Wameru walimchagua mtoto mdogo kuwa kiongozi wa kimila?

Kwa maana moja ya kazi za mbunge katika jimbo ilo ni pamoja na kushiriki vikao vya wazee wa kimila. Na kikao vingine vya matambiko ambavyo haviruhusu watoto wadogo kushiriki...sasa hapo Nassari atakuwa mbunge wa kundi gani?

Naomba usitutukane Wameru........Huu ujima hatunao asilani
 
Back
Top Bottom