Joshua Nassari amkurupusha mwenyekiti wa kijiji CCM Monduli akigawa rushwa

Kirode

JF-Expert Member
Mar 25, 2011
3,569
0
Huyu nayee mkatamigomba anaweza kitu kweli, wameru bwana, wanakatakata miomba, huko monduli hamna migomba bwana nassary, rudi tu nyumbani kwani hapo unapoteza mda na fedha nyingi,
unatakiwa ufe we kababu.....silly
 

daniel merengo

JF-Expert Member
Aug 19, 2011
278
0
Huyu nayee mkatamigomba anaweza kitu kweli, wameru bwana, wanakatakata miomba, huko monduli hamna migomba bwana nassary, rudi tu nyumbani kwani hapo unapoteza mda na fedha nyingi,

CCM NI CHAMA CHA MAJAMBAZI NA HII NI KUTOKANA NA MATENDO YAO. LOWASA ANAJUA KABISA KATA YA MAKUYUNI INACHUKULIWA NA CHADEMA LAKINI HATAKI KUKUBALIANA NA HALI HALISI.MATOKEO YAKE NDIO HAYO WANAANZA KUCHUKUA SHAHADA ZA WAPIGA KURA WANAENDA KUTENGENEZA KADI MPYA ZA KUPIGIA KURA NA KUZISAMBAZA KWA WASIO NAZO ILI WAKAPIGE KURA.BAADAYE WANAANZA KUJINADI KWENYA MAJUKWAA YA SIASA KWAMBA CCM NI CHAMA PENDWA. LEO NIMESIKIA HUKO ARUSHA CCMPOLISI WAMEANZAN KUKAMATA WAPINZANI NA KUWAWEKA RUMANDE ILI SIKU YA kupiga KURA IPITE

LOWASA NI PESA ANAZO LAKINI WATU WANAJUA NI FISADI NA ANAZIHONGA KWENYE MAKANISA NA KUNUNUA SHAHADA ZA KUPIGIA KURA.ROTTEN CCM
 
Top Bottom