Joshua kama mwakinyo tuu

Umeongea kishabiki au umeongea kama mtu unayejua masumbwi? Nijibu kwanza nione kama naweza kuongea kwa hoja na mtu anayejua professional boxing na kuweza kuchambua kitaalamu
 
Ishu sio kujua au kutokujua,mabondia wa skuhiz ujanja mwing,body physiq ya joshua tuu inatosha kusema atampiga Andy kwa KO,kashindwa,akat yeye alipigwa kwa KO,..joshua si mkali kabisa,huwez pigana na kibonge kama yule halaf wew ni nigga na ushindwe kutupa mchezo mzur..kiufup joshua hana tofaut na mwakinyo,..mbona wildet anatupaga raha,na anakutana vidume kwelkwel,..sasa andy si wa kumtoa kijasho vile joshua Period.
Usijifanye unajua saaana akat hujui kitu,sport iwe sport kwel na ladha,si ujanja ujanja
Hahahah kwahio boxing kwa uelewa wako mkubwa ni KO au TKO tu ? Unafikiri brilliant boxer kama Joshua alienda pale kipuuzi puuzi tu ?! Mikanda minne on the line, unafikiri utaenda kipuuzi puuzi tu utafute KO au TKO ?! you must be joking
 
Kwenye boxing kumkimbia mwenzio ni mbinu na sio uoga,
Mtu kama koba kimanga enzi izo ukimsogelea karibu ana kuua,ni fundi wa upper cut na cross,lazma ukaenae mbali,
Chibonge ukikaa nae karibu anakuangusha kila round
Mkuu , shida sana kubishana na mashabiki wa michezo , na sio wapenzi wanaojua mchezo fulani kwa undani
 
Ishu sio kujua au kutokujua,mabondia wa skuhiz ujanja mwing,body physiq ya joshua tuu inatosha kusema atampiga Andy kwa KO,kashindwa,akat yeye alipigwa kwa KO,..joshua si mkali kabisa,huwez pigana na kibonge kama yule halaf wew ni nigga na ushindwe kutupa mchezo mzur..kiufup joshua hana tofaut na mwakinyo,..mbona wildet anatupaga raha,na anakutana vidume kwelkwel,..sasa andy si wa kumtoa kijasho vile joshua Period.
Usijifanye unajua saaana akat hujui kitu,sport iwe sport kwel na ladha,si ujanja ujanja
Kama umedhani physic ya Joshua ilitosha hata Bruno kwa Tyson asingekalishwa

Huwezi kumsema Ruiz ni kibonge, jamaa ni mzuri sana na pia unaodhani ni wakali wataumia

Joshua ni professional na sisi n mashabiki
Endapo game ya kwanza angecheza hv asingeharibu rekodi

Bado sijaona bondia 1 ambaye hautafika mda akapiga wote bila kukutana na wake wa kumsumbua

Wilder mzuri mno ila ikitokea anakutana na AJ anaweza kukaa kama Klitchko

Ruiz anaweza kuwa no 1 kama ataweza kucover distance kama Tyson

Jinsi nlivyotazama uwezo wa ngumi zake ni kali sana na speed pia ana uwezo wa kuhimili heavy punch kitu ambacho AJ naona ana kazi ya ziada ili asichapwe

AJ anahitaji kuwa mwepesi zaidi ngumi za haraka,kumiliki ulingo,dancing za haraka

Alichomshinda Ruiz ni advantage ya reach ya mkono

Ndo maana mwisho Ruiz alikua anahimiza Joshua aje karbu
Alijua round zote kapoteza kinachotakiwa ni ko

Nahisi ndo maana hakuonesha kulalamikia maamuzi na amehitaji marudiano
 
Sure kabisa, yani pambano zima anakimbia tu. Joshua anabebwa, akutane na wilder aone atavyochezea KO za kutosha.
Oooh
Kumbe point zingine zinakuja kwa kukimbikimbia

Mi nlichoona ni kujua upungufu uko wapi then unacheza kulingana na mpinzani wako

Ruiz hajalalamika AJ kubebwa,anajua wapi palimbana
Hakujiaanda na ujanja aliokutana nao

Ajipange upya
 
uzi wa kifala kuwahi kuandikwa humu jf, sina cha kuchangia kwa vile ni upuuzi mtupu... eti AJ ni sawa na mwakinyo, sh*t
 
Umeongea kishabiki au umeongea kama mtu unayejua masumbwi? Nijibu kwanza nione kama naweza kuongea kwa hoja na mtu anayejua professional boxing na kuweza kuchambua kitaalamu
Nakujib hiv,Aj katuaibisha maniga,huwez pigana na chibonge uliemshinda kila kitu halaf ushinde kwa point pambano la comeback na hapohapo yeye na ubonge nyanya wake alikushinda kwa KO
 
Nakujib hiv,Aj katuaibisha maniga,huwez pigana na chibonge uliemshinda kila kitu halaf ushinde kwa point pambano la comeback na hapohapo yeye na ubonge nyanya wake alikushinda kwa KO
Mkuu naheshimu mawazo yako sina budi, ila mimi na wewe tuangalie namna ambayo tunaweza siku moja kuingiza bilioni 140 tsh kwa siku moja kama Anthony Joshua.
 
Mkuu naheshimu mawazo yako sina budi, ila mimi na wewe tuangalie namna ambayo tunaweza siku moja kuingiza bilioni 140 tsh kwa siku moja kama Anthony Joshua.
Ninayoingiza kwasasa inanitosha sana mkuu,kama heshima nafanya bar,natembelea matak.o,nina ka mjengo, si haba,madem zenu nala,what more can i say,...ushabik utaendelea kuwepo na critics ztaaendelea kuwepo na ndomana michezo ipo dunian,elewa hillo,na ndomana tyson legacy yake ipo na itaendelea kuwepo dunia nzima,kipimo cha nguvu na umwamba,na ndomana had kuna vinywaj had huku 3rd world countries vinaitwa tyson,hutaskia mmmuhamad ali or lewis or floyd,ndo ujue kua ushabik ni zaid ya hyo 140bil,..
 
Aj Katumia wiki 12 kwa ajiri ya maaandalizi ya pambano lakini Luiz Katumia wiki 3 tu kujifua kwa ajiri ya pambano ilo..
AJ kashinda ndiyo lakini kwa mbinde sana.. chichiii chiiii chibonge yuko vizuri sana.
Mkuu ulikuwa nao camp?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom