Josephine kugombea ubunge jimbo la Kawe

Wanabodi.

Joto la Uchaguzi Mkuu linazidi kupamba moto baadhi ya makada wa Chadema wameanza kutangaza nia zao za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama hicho. Habari za ndani kabisa kutoka Makao Makuu ya Chadema pale Kinondoni Mtaa wa Ufipa kupitia kwa kada wa siku nyingi wa Chadema zinasema kuwa Josephine Mshumbusi, amejiandaa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia Chadema mwaka 2015.

Jimbo la Kawe kwa sasa linaongozwa na Mbunge Halima Mdee, kupitia Chadema pia, inasemekana imetokea sintofahamu kati ya Halima Mdee na uongozi wa juu wa Chadema baada ya Josephine, kutangaza nia yake ya kulitaka jimbo la Kawe imefikia mpaka Halima Mdee kususia mikutano na harakati za M4C.

mrsslaaa.jpg
pia kuna tetesi kuwa nape atagombea jimbo la IRAMBA M.kwa mwigulu 'mchemba'
Yy
 
kama kweli hivi ni vyanzo tata.So ajipange upya kudanganya na sijawahi kujua Josephine aliwakosea nini hawa vijana maana kila kukicha na kila ukiona mada zao asipotajwa basi ujue kuna watu wanalia kwa kutukanwa matusi.
Tatizo huyu mchumba wa Slaa ni much know sana!! Ulishawahi kumsikia mke wa Mbowe au wa kiongozi yoyote wa CDM???
Inabidi ajifunze kujiweka chini ili watu wamkweze! Siyo kila kitu anakirukia rukia tu hovyo hovyo!
 
Last edited by a moderator:

Mkuu huu u-much know huwa anauonyeshea wapi?!
 
Mke wa sultan kikwete siyo much know? Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Teh! Teh! Mashavu yanatanuka tuu
 
Mkuu huu u-much know huwa anauonyeshea wapi?!
Hapa JamiiForums.
Thread yoyote inayohusu CDM au mchumba wake ikianzishwa hapa huwa anaingia haraka haraka kuclarfy issues wakati yeye hapaswi kufanya hivyo. Mambo mengine huwa yanahusu chama naye huja kuyajibu, utadhani yeye ndiye msemaji mkuu wa CDM!!
 
Precise pangolin,
Mama Salma Kikwete Katiba ya JMT inamtambua! huwezi kufananisha na mke wa katibu wa chama kidogo tu cha siasa.
 
Last edited by a moderator:
Hapa JamiiForums.
Thread yoyote inayohusu CDM au mchumba wake ikianzishwa hapa huwa anaingia haraka haraka kuclarfy issues wakati yeye hapaswi kufanya hivyo. Mambo mengine huwa yanahusu chama naye huja kuyajibu, utadhani yeye ndiye msemaji mkuu wa CDM!!

Naomba nikuulize jambo moja,wewe huwa unajibu mambo mazito ya chama cha mapinduzi hapa jamvini na hata ktk mijadala huwa unatetea chama cha mapinduzi je wewe ni nani ktk chama chako?!
 
Chademaphobia ... kulikuwa na habari humu ya sheh ponda kugombea ubungo .... mbona hauifuatilii
Mkuu kumbe ulikuwa hujui ukiwataja Sheh Mukudamu Swalehe na Sheh Ponda Issa Ponda,Ritz utulia kama maji yaliopo mtungini!!
 
Haha mkuu, cdm ni chama cha demokrasia hivo mtu yeyote ana haki ya kugombea cheo chochote ndani ya cdm, tunapenda watu wote wanaopenda watangaze nia zao kupitia cdm hata iwe ubungo,kawe,hai, moshi mjini,arusha mjini na hata mbeya mjini.hiyo ni haki yao hatimaye chama kitawachuja na kubaki na mgombea mmoja kwa kila jimbo. Sio kama wanavyofanya magamba walimpendekeza mama salma kugombea ujumbe wa Nec lindi mjini.
 
@le mutuz anamalizia kula ice cream atakuja kudadavua hii hoja ya wazee wa meno ya tembo
 
Back
Top Bottom