Rich Pol
JF-Expert Member
- Oct 11, 2013
- 7,864
- 5,672
Kwa akili hizo ulizokuwa nazo sitasita kusema wewe picha yako ni hii hapa chini
View attachment 224810
Punguza matumizi haya mkuu subiri kampeni zianze
Kwa akili hizo ulizokuwa nazo sitasita kusema wewe picha yako ni hii hapa chini
View attachment 224810
Hats Mimi nashangaa. Chama kitampokonya lakini je wananchi watamchagua Hugo atakayesimamishwa na chama?Josephine atoe wapi sifa za kugombea Jimbo mahiri la KAWE...?
Hon Halima Mdee nafasi yake ya kutetea ipo wazi..
Habari fukunyuku zilizopatikana leo ndani ya chadema ni kwamba
Mh Zitto Kabwe amemponza mbunge wa jimbo la Kawe Halima James Mdee kwa kuto shughurikia suala zima la kumvua uanachama Zitto kabwe,
Kwa kutokutoa ushirikiano wa kutosha na kujiweka pembeni uongozi wa chama umepanga kumsimamisha Josephine Mshumbusi kugombea ubunge ktk jimbo la Kawe.
Kwa misingi hiyo Halima Mdee kutokana na kujiweka vizuri ktk jimbo hilo anajikuna kichwa kunusuru jimbo lake au kutafuta jimbo jingine.
Kigeni hapa ni kipi?
Josephine hajatangaza nia?
Nyie mnalijuwa jimbo la kawe vizuri
Mdee kurudi ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano
Hata yy analijuwa hilo
Mkae mnabwabwaja tu
Josephine atoe wapi sifa za kugombea Jimbo mahiri la KAWE...?
Hon Halima Mdee nafasi yake ya kutetea ipo wazi..
pathetic....huu ni uzushi wa ali ya juu!!
Mkuu kwani na wewe ni mchaga
Hata sijui mie kabila gani kwani sijapima DNA hadi leo na Wazazi wangu. Who knows and who care?
Kweli mkuu utakuwa umekulia mbege
Hahahaaah mkuu unanichekesha sana
Mleteni tumgalagaze! Waishie huko huko Karatu!
Wanabodi.
Joto la Uchaguzi Mkuu linazidi kupamba moto baadhi ya makada wa Chadema wameanza kutangaza nia zao za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama hicho. Habari za ndani kabisa kutoka Makao Makuu ya Chadema pale Kinondoni Mtaa wa Ufipa kupitia kwa kada wa siku nyingi wa Chadema zinasema kuwa Josephine Mshumbusi, amejiandaa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia Chadema mwaka 2015.
Jimbo la Kawe kwa sasa linaongozwa na Mbunge Halima Mdee, kupitia Chadema pia, inasemekana imetokea sintofahamu kati ya Halima Mdee na uongozi wa juu wa Chadema baada ya Josephine, kutangaza nia yake ya kulitaka jimbo la Kawe imefikia mpaka Halima Mdee kususia mikutano na harakati za M4C.
====
Mfuatilie Salma anagombea wapi?Hakuna tatizo ni haki yake ya kidemokrasia kugombea nafasi yeyote.