Josephine kugombea ubunge jimbo la Kawe

Attachments

  • 1423254894537.jpg
    1423254894537.jpg
    52.4 KB · Views: 177
Duuuuh tumevamiwa na chakubimbi, kwann mnaruhusu majitu hayana kichwa wala miguu humu ndan? Kama hauna habar sibora uchangie tu kuliko kupost utambo uliochacha kama si uharo
 
Josephine atoe wapi sifa za kugombea Jimbo mahiri la KAWE...?
Hon Halima Mdee nafasi yake ya kutetea ipo wazi..
Hats Mimi nashangaa. Chama kitampokonya lakini je wananchi watamchagua Hugo atakayesimamishwa na chama?
 
Habari fukunyuku zilizopatikana leo ndani ya chadema ni kwamba
Mh Zitto Kabwe amemponza mbunge wa jimbo la Kawe Halima James Mdee kwa kuto shughurikia suala zima la kumvua uanachama Zitto kabwe,
Kwa kutokutoa ushirikiano wa kutosha na kujiweka pembeni uongozi wa chama umepanga kumsimamisha Josephine Mshumbusi kugombea ubunge ktk jimbo la Kawe.
Kwa misingi hiyo Halima Mdee kutokana na kujiweka vizuri ktk jimbo hilo anajikuna kichwa kunusuru jimbo lake au kutafuta jimbo jingine.

Fukunyuku ndo nini?
 
Nyie mnalijuwa jimbo la kawe vizuri
Mdee kurudi ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu la sindano
Hata yy analijuwa hilo
Mkae mnabwabwaja tu

Ili mradi ngamia ana weza kupenya kwenye tundu la sindano hata Mdee atapenya hivyohivyo.
 
Unataka kulawitiwa kinguvu mtoa post ila ss hatuna tabia hiyo mtafukuzana nyie huku watu wanazidi kujipanga we jua kua kiama kimekaribia vaa tu miwan ya mbao ila utaona tu October
 
SIKONGE na Mbege wapi na wapi? Umekalia Wachaga wakati hata Wachaga wenyewe huwafahamu? Ndiyo nyinyi mnasema Jamanica kulikuwa na Wanamuziki Wachaga, Peter Tesha (Tosh) na Bob Mallya (Marley).



Kweli mkuu utakuwa umekulia mbege
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi.

Joto la Uchaguzi Mkuu linazidi kupamba moto baadhi ya makada wa Chadema wameanza kutangaza nia zao za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama hicho. Habari za ndani kabisa kutoka Makao Makuu ya Chadema pale Kinondoni Mtaa wa Ufipa kupitia kwa kada wa siku nyingi wa Chadema zinasema kuwa Josephine Mshumbusi, amejiandaa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia Chadema mwaka 2015.

Jimbo la Kawe kwa sasa linaongozwa na Mbunge Halima Mdee, kupitia Chadema pia, inasemekana imetokea sintofahamu kati ya Halima Mdee na uongozi wa juu wa Chadema baada ya Josephine, kutangaza nia yake ya kulitaka jimbo la Kawe imefikia mpaka Halima Mdee kususia mikutano na harakati za M4C.

====

Hivi kuna tofauti gani kati ya tetesi umbea na uongo? Naomba msaada ili nijue sifa (adjective) ya kumpa mleta post.
 
Kubwa jiingaaa! Hajui hata kudangana! Alivyo gombea BAWACHA hawakuona kuna haja ya kumtosa!!! uzushi mwingine hauna maana kabisa wa kitoto hivi! Miccm akili kweli ni ndogo ka nukta!!
 
Hakuna tatizo ni haki yake ya kidemokrasia kugombea nafasi yeyote.
Mfuatilie Salma anagombea wapi?
Ungeleta habari za CCM huku kwa sababu mnashiriki vikao vyao, Habari za chadema zinakuhusu nini? Kama unapenda kuwa afisa habari wa chadema vua gamba, vaa gwanda then upate mafunzo maalumu ya kupiga vita ufisadi....
 
Back
Top Bottom