Speaker
JF-Expert Member
- Aug 12, 2010
- 6,324
- 2,238
Kabla hujalaumu na kuanza kutoa lugha ya kashfa pitia:
1. Kura Za Maoni: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/230046-jf-m-and-f-politician-of-the-year-2011-competition.html
2. Upigaji Kura: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/231099-jf-female-politician-of-the-year-2011-a-2.html
Halsfi jiulize wewe ulishiriki vipi?
Tu wepesi sana wa kulaumu lakini ushiriki wetu ni kidogo au hakuna. Na kama wengine walimpendekeza, ulitaka Mwenyekiti JEC alete wake wa kuchongwa?
Hebu tuheshimu maoni ya wengi afterall hii ni thread kama thread nyingine na SM hana copy rights.
Kama hujaridhika unaweza kuanzisha shindano lako uone jinsi ilivyo rahisi.
Hata hivyo kama una hoja nzito unakaribishwa ili wadau waijadili.
Lugha gani ya kashfa nimetoa?
A poor execuse ni lugha ya kashfa?
Nipe ban basi maana haitakiwi humu.
Anyway,hongera kwa shindano lako lililo "tupatia"
JF female "politician" of the year.
Nilikuwa sijui kama mashabiki wa siasa nao ni wanasiasa.
By the way,sio kila mtu kila saa anatafuta thread ya Superman,
au ana ingia JF.
Na haimaanishi kwakua haingii au hatafuti topic ya superman,basi hana
haki ya kusema kwa hili mmekosea,na kweli MMEKOSEA.
Like it or hate it.