JOSEPHAT MOSSY 'DOJO' is No More

Sita Sita

JF-Expert Member
Aug 25, 2008
1,393
511
Hivi leo nimepokea taarifa za kusikitisha za mauti yaliyomkuta Ndugu Josephat Mossy a.k.a Dojo.

Marehem alikua mwanafunzi chuo cha St. Augustine Mwanza. Inasemekana aligongwa na gari siku ya Jumapili. Marehem alikua rafiki wa watu wote na alipendwa na wengi.

May his soul rest in peace
 
Ohhhh my God. Mungu ailaze pema peponi roho ya marehemu. Apumzike kwa amani.
 
Back
Top Bottom