Luteni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 2,274
- 302
CDM-Jiji la Mwanza kimemteua Diwani wa Nyakato, Josephat Manyerere, kuwa mgombea wa umeya wa jiji hilo, huku nafasi ya unaibu ikichukuliwa na Charles Machinchibera wa Mahina.
Chama hicho pia kimefanikiwa kupata madiwani wanne zaidi wa viti maalumu na kufikisha madiwani 15 wakati huo CCM ikiambulia madiwani watatu wa viti maalumu na kufikisha idadi ya madiwani 12.
Akizungumzia mchakato wa uundaji wa Jiji la Mwanza, Dk. Slaa alitoa angalizo kuwa ni lazima wananchi watumikiwe kwa masilahi ya umma na si mtu binafsi.
Hongera Dr. Slaa kwa kukamilisha uteuzi kwa amani tunakuomba usichoke elekea Musoma ukaweke mambo sawa huko nasikia madiwani wawili wa CUF wanakiunga CDM mkono.