Joseph Selasini; Unakoelekea Utawaambia Warombo Ben Saanane Alikuwa Jambazi

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,792
71,206
Nimesikitishwa na kauli hii kutoka kwa aliyekuwa mbunge wa Rombo. Kwamba nchi hii iko huru na hao viongozi wa upinzani wanao kamatwa na kuwekwa ndani ni wahalifu tuu kama wahalifu wengine.

Kuna kuteleza na kuanguka lakini huku sio kuteleza bali ni kujibwaga chini ili tuu kuwafurahisha watawala na kuwavunjia heshima wananchi na viongozi wenzake aliokuwa nao katika mapambano awali.

Iko wazi kuwa alikuwa muongo na mzandiki hata kwa wanarombo na kuna siku atamkana kijana wao aliyepotea Ben Saanane na kuwaambia watu wa Rombo ambao bado wana uchungu kuwa kijana alikuwa Jambazi hivyo pengine kapotelea kwenye shughuli hizo.

Selasini, umefikia hatua hiyo kweli? Mbona unakubali kuziingiza mvi zako kaburini kwa fedheha kiasi hicho?

View attachment 1494603
Amejitoa ufahamu
 
Napita....
 
Anataka ubunge kwa gharama yoyote. Akili imehamia tumboni!
 
Ana kosea sana huyu Mzee utafikiri alikuwa akiishi ktk Kisiwa chake na habari za Tanzania hazifahamu ,nnaamini Karma itakuwa juu yake kwa anayo yafanya.
 
Huyu mtu na utiaji wakr dawa nywele na sauti yake vimekua alama ya unafiki, undumilakuwili na usaliti. Anaiabisha jamii yake
 
Kuna warombo wangapi wamepotea na kufa kwa nini umtukuze saanane eti watu wa Rombo wana uchungu,usitusemee wa Rombo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom