Joseph Selasini hatogombea ubunge wa Jimbo la Rombo kwa tiketi ya CHADEMA

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
8,522
2,000
Hii ni kwa sababu hayumo kwenye orodha ya watia nia ya kugombea ubunge wa jimbo hilo iliyowasilishwa kwenye ofisi ya Katibu Mkuu , kama utaratibu wa Chadema unavyoelekeza.

Chadema iliwaelekeza wanachama wake wenye lengo la kugombea udiwani au ubunge kujaza fomu maalum ya kutia nia ya kugombea na kuiwasilisha kwenye ofisi ya Katibu Mkuu , Selasini na Mzee Lwakatare hawakujaza fomu hizi huku Lwaks akitangaza kustaafu .
Jimbo linarudi Nccr mageuzi au Ccm.
 

Kenge (Eng)

JF-Expert Member
Dec 7, 2006
542
250
SISA SIASA

Jamani hojini idadi ya case mpya za CORONA, COVID-19 na jumla imefika ngapi?

Tunashuhudia vifo vingi sasa vya kuzikwa na watu wasiozidi 10 lkn baada ya kuzika umati unakusanyika kuweka mashda ya maua, mchungaji Rwakatare's case study.

Tumeshuhudia (Suspect that's why burial attendance not more than 10?)
1. Evodius Mmanda
2. Naibu Meya wa Morogoro
3. Advocate Gadius Ishengoma - Aga Khan
4. Benard Lowasa - Aga Khan
5. Augustine Ramadhani (Judge) - Aga Khan
6. Jonasi Kajaja (Engineer TANESCO - Dar) - Temeke Hospital/Amana
7. Getrude Rwakatare (mch)

Jiulize mbona Askofu Samson Mshemba, (Rtd KKKT) amezikwa na umati ndani ya kipindi hiki hiki?

Itafika wakati tutajitangazia idadi maana ukimya wa serikali unazalisha mashaka.

Halafu Bunge kioo cha Jamii limekaa kimya!!!!!
 

MAPITO Mwanza

JF-Expert Member
Aug 21, 2018
1,812
2,000
Chadema ni kiwanda cha kuzalisha viongozi hakuna Shaka Rombo itapata mwakilishi mwingine makini zaidi kutoka chadema
 

miss pablo

JF-Expert Member
Jul 9, 2018
3,948
2,000
Yaan i miss ben saanane sana sana ndugu yangu. Selasini anajua kabisa rombo hatumpendi na hatumkubali. Hakubaliki. Huo ndo ukweli. Kwanza guwa tunamwita isembo. Laini laini sana. Kwanza ametutia aibu warombo wote kuzira eti kisa katolewa kwenye whatsup group. Ben saa nane angekuwepo haya yote haysass tungeyasahau mapema sana maana alikua kiboko yake huyu faza. Hana mvuto kabisa huyu. Ni vile tuu kule uweke ccm na jiwe watapigia kura jiwe. He is a failure

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom