Joseph Selasini asema tatizo la CHADEMA ukiwa na mawazo tofauti unaitwa 'Snitch', Msaliti, Usalama, unatumika na mwisho, unataka kuhama

Huyo Selasini ni childish sana. Kama amewaachia hiyo position, anaendelea kuongea ya nini?. Kuna watu ni wanafiki sana na wana roho za uharibifu. Kama ni kuhama si pia ahame tu kwa amani.
 
Akiwa CCM anaweza kupita kwa mabavu kama kawaida yao lakini atakuwa amejivunjia heshima maana ni muda mrefu tangu aingie upinzani akitokea NCCR. Ni mkongwe wa siasa za upinzani. Kama akiona Rombo hawamtaki, jibu sio kuhamia CCM bali ni kustaafu siasa au kuhamia jimbo lingine kama alivyofanya Werema Chambiri kuhama kutoka jimbo la Tarime hadi jimbo la Babati.
Huku Rombo hakuna anaetaka kusikia habari ya Selasini akiwa CHADEMA au CCM

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichogundua siku zote Mbowe ndiye anakivuruga chama na kufifisha ile ari ya wanachama katika kujijenga na kukitumikia chama.
Mbowe ana masrahi binafsi na hapendi wanachama wa chini wanufaike kupitia chama.

Sasa mtu umemteua akaimu na kuitumikia nafasi na anatenga muda wake kutekeleza majukumu yanayo husiana na wadhifa huo, simply ni kwamba mtu huyu anatakiwa anufaike na apewe haki zake zote zinazohusu wadhifa huo.

Ukitaka kunufaika ndani ya chadema shariti umtukuze Mbowe then yeye ndo akufikirie either you benefit wholly or get squeezed.
 
Mimi ni mzaliwa wa Rombo na mimekuweko huko Noeli iliyopita. Niliulizia kuhusu umaarufu wa Mh Selasini. Hakuna anayeweza kumpiku kwa sasa. Anakubalika sana sana. Atapata kura nyingi irrespective ya chama atakachokuwa. Rombo wanachagua mtu, sio chama.

I proposed, four years ago, that Chadema lost its narrative when it dumped Slaa in favour of Lowasa. It has failed to galvanize the masses around a substitute narrative, that of the need for a new constitution.

Chadema has been weakened by this latest public row, but it's not about to implode yet. There is in it a remnant of very competent young and upwardly mobile politicians. People like Mnyika and my own MP, the honourable Halima Mdee. I would vote for this young woman if I were to vote at all, but I doubt that I will bother.
 
Back
Top Bottom