I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,730
- 10,033
Mnamo mwaka 1912 iliyokuwa meli pekee ya abiria kubwa kwa kipindi hiko ilipata ajali na kusababisha vifo vya takribani watu 1500 na majeruhi 710 hivyo kuwa ajali kubwa zaidi ya meli kuwahi kutokea katika historia.
Mwaka 1997 ilitoka filamu ya kipekee iliyojulikana kwa jina la TITANIC ambayo ilivunja rekodi ya mauzo miaka hiyo. Filamu hii iliyokuwa ikielezea historia ya ajali hiyo huku ikificha ukweli juu ya uwepo wa mtu huyu pekee mweusi katika ajali ya meli hiyo.
JOSEPH LACOCHE alizaliwa mwaka 1886 katika nchi ya Haiti. Joseph alikuwa mzaliwa kutoka katika familia ya kitajiri. Dessalines M. Cincinnatus mjomba wa Joseph alikuwa Raisi wa Haiti tangu karne ya 17.Baadae alisomea engeneering na kufanikiwa kuwa na familia na mwanamke wa kizungu huku akibahatika kupata watoto wawili.
Historia yake ilifutwa kutokana na ile dhana ya ubaguzi wa rangi baina ya wazungu na watu weusi iliyokuwa ikiwaona watu weusi kuwa si wathamani kama walivyo wao (Wazungu).