figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,490
- 54,884
mimi hawa airtel nawalaumu kitu kimoja tu. ukipiga simu unasikia nyimbo za bongo fleva wakati simu inaita, lakini hawa wasanii hawanufaiki chochote kutokana na kazi yao. halafu huyo sharobalo wao anapenda sana sifa, kusikika kwenye radio na kwenye magazeti. mi ananiudhi kama kuna band inapiga anaenda kuza halafu anajifanya kucheza cheza pale mbele ili magazeti ya udaku yampige picha. VINEGA wanamulaumu kwa sababu ametoa udhamini kwa clouds ili wakawachafue vinega. Mia