only83
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 5,343
- 2,525
Jamaa kasema na hapa namnukuu "...boycott CLOUDS FM...boycott AIRTEL na huduma zao zote kama AIRTEL-MONEY kwa sababu watumishi wake kama Twisa wanashirikiana kwa hila na wanyonyaji hawa wa wasanii...mfano ni kitendo cha Twisa kuwasapoti Clouds kwa fedha za AIRTEL na katika mazingira ya 'TATA' bajeti ya kuzunguka mikoani na wasanii ili kuwaharibia VINEGA wa ANTI-VIRUS tour yao ya kitaifa...THIS IS LONG WAR!!!
Na kinega mwingine akaunga mkono hoja ya sugu huyu ni sogy na hapa namnukuu... "Wanatuchokoza wenyewe...dawa yao ni kuwapiga mswaki kila wanapoenda.Line yangu ya Airtel naivunjia jukwaani kwenye show yetu ya Arusha na najua mashabiki wetu watafanya hivyo pia"