Joseph Ludovick ni nani ndani ya CHADEMA na kwanini hana mawakili?

Huyu ni kamanda wa CHADEMA aliyekuwa yuko kama mmoja wa inteligensia (shushushu) ya CHADEMA katika kufanya MAOVU yaliyokuwa yakiratibiwa na uongozi wa juu ndani ya CHADEMA.

Mungu alimwita na kumuonya kama Ilivyokuwa kwa Paul kwenye maandiko ndani ya BIBLIA.

Kwa mapenzi ya Mungu, ameamua kuona ukweli na kufichua SIASA CHAFU na MABAYA (UJASUSI) ambayo CHADEMA kilikuwa kinayatumia kujitafutia UMAARUFU NA HURUMA kwa wananchi hata mpaka kufikia kuwamwagia tindikali mwananchi huku ikijificha nyuma ya vyombo vya dola vionekane ndivyo vimefanya.

Tutasikia mengi zaidi mahakamani.

Chenye mwanzo kina mwisho.
 
Ludo ameshiriki masuala mhm sana ya chama ikiwa ni pamoja na kuchunguza kukubalika kwa silinde jimbo la mbozi, uchaguzi wa uzini na igunga na alitumwa na slaa kuwachunguza akina mwampamba na shonza, pia alitumwa na slaa kwenda mbeya kuhakikisha baba yake na mtela mwampamba anafukuzwa kwenye chama. Alitekeleza na alikuja hapa jf akaanzisha uzi na kuweka na barua za baba wa mwampamba kufukuzwa chamani pamoja na mambo mengine
 
Ni miezi mitatu tu iliyopita LUDO alidivert email yangu kwa mjengwa na kuipeleka makao makuu yenu mkamuita shujaa na kujisifia inteligensia yenu .. leo bila aibu mnamuita masalia na kumkana kwa sababu yuko kwenye matatizo.Tusubiri kijana aongee afunguke na hapo ndio tutajua mengi
At last u've given me an answer!!
 
Hakuwahi kuwa na cheo chochote.

Huoni Aibu,?
UNAMKANA KIJANA MWENZAKO NDANI YA CHAMA! UTAJISIKIAJE MNYIK AKIKUKANA WEWE WAKATI NDIYE KAKUPA KAZI HIYO YA UANDISHI WA HABARI YA CHADEMA?

LUDOVICK HAKUWA KUWA NA CHEO CHOCHOTE?.

LUDOVICK JOSEPH AMEKUWA MWENYEKITI WA CHASO DUCE MWAKA 210 TO 2011.
LUDOVICK AMEKUWA MTUMISHI WA KITENGO MAALUMU CHADEMA~USALAMA.
LUDOVICK AMEKUWA KWENYE MAWASILIANO YA CHA CHAMA KWENYE CHAGUZI NA JF
 
Vijana wanadanganywa kirahisi sana. Wanatumika Kama soli ya kiatu
 
LUDOVICK na Ben saanane wanajuana sana.Ndio waliokuwa wakifanyakazi hapa Jf ya kukitetea chama na Dr.slaa.
Dr.slaa ndani ya chama ndiye aliyemuajili Ludovick kutokana na namna alivyoanzisha harakati vyuoni hasa Udsm za chadema.
Pia ludovick alikisaidia chama kwenye chaguzi za marais wa vyuo cumpus za udsm mwaka 2011 wenye mlengo wa chadema.
Ludovick ni mtu wa ndani wa CHADEMA.NAHOFIA IPO SIKU CHADEMA WATAKUJA KUMKANA BEN SAANANE KWAMBA HAWAMFAHAMU WAKATI NAYE YUPO KITENGO MAALUMU~USALAMA
 
Ludovick Ni mwanachama wa chadema kama wengine tu
Huyu ni kamanda mtiifu tena alie karibu sana na uongozi wa juu
Tatizo ni kwamba wakati wowote kikinuka Chadema huwa inawasahau na kuwakana makamanda wao. Na ili wasije husishwa na matatizo yako watakuita masalia.
Huu uwe mfano mzuri sana kwa makamanda wengine wa chadema kuacha tabia za kufuata upepo kwani siku kikinuka wajue imekula kwao. Watakaoumia ni ndugu na familia yako

kama mtu anajitengenezea matatizo yake mwenyewe kwatamaa zake, ndio atetewe na chadema kisa tuu ni mwanachama?
 
Wana JF naomba mnifahamishe huyu kijana Joseph Ludovick anayehusiswa na mipango ya kigaidi sambamba na Lwakatare yeye ana cheo gani CHADEMA na ni kwa nini mpaka leo tunasikia huku tulipo mikoani kuwa yeye hana mwawakili wakati huo huo Lwakatare ana mawakili zaidi ya wanne, Kwa nini?

shushushu wa CHADEMA ila kwa jinsi mwelekeo wa mashitaka unavyoenda na Siri anazozitoa kuhusu njama za chadema kuvuruga amani ya nchi,kila mwanachadema atamkana! inasikitisha sana!
 
Ukitaka kujua imekaa vibaya angalia comment za vijana wa kinondoni manyanya, ni matusi mwanzo mwisho.
 
Wasifikiri alimrekodi lwaka peke yake,hata babu iko yake,msije kushangaa kina mbowe wanamruka Slaa.
 
Hahahahahaha
Eti katoa siri, kama mlimtuma itajulikana tuu! Daa tareh 28 aliwasiliana na mwigulu na tareh 29 asubuhi mwingulu akasema ana mkanda unao onesha viongozi wa chadema wakipanga mauji!

shushushu wa CHADEMA ila kwa jinsi mwelekeo wa mashitaka unavyoenda na Siri anazozitoa kuhusu njama za chadema kuvuruga amani ya nchi,kila mwanachadema atamkana! inasikitisha sana!
 
Ludovick ni kijana anaependa nchi yake hapendi kuona chui kwenye ngozi ya kondoo, ameamua kutoa sehemu ndogo tu ya ukweli uliosemwa siku nyingi kuwa Chadema ni SACCOS na sasa ni Mtandao unaofanana na Al-quadah.
 
Mkanda walio nao polisi na ule uliopo kwenye mitandao ni tofauti-Kibatara.

LUDOVICK na Ben saanane wanajuana sana.Ndio waliokuwa wakifanyakazi hapa Jf ya kukitetea chama na Dr.slaa.
Dr.slaa ndani ya chama ndiye aliyemuajili Ludovick kutokana na namna alivyoanzisha harakati vyuoni hasa Udsm za chadema.
Pia ludovick alikisaidia chama kwenye chaguzi za marais wa vyuo cumpus za udsm mwaka 2011 wenye mlengo wa chadema.
Ludovick ni mtu wa ndani wa CHADEMA.NAHOFIA IPO SIKU CHADEMA WATAKUJA KUMKANA BEN SAANANE KWAMBA HAWAMFAHAMU WAKATI NAYE YUPO KITENGO MAALUMU~USALAMA
 
Wana JF naomba mnifahamishe huyu kijana Joseph Ludovick anayehusiswa na mipango ya kigaidi sambamba na Lwakatare yeye ana cheo gani CHADEMA na ni kwa nini mpaka leo tunasikia huku tulipo mikoani kuwa yeye hana mwawakili wakati huo huo Lwakatare ana mawakili zaidi ya wanne, Kwa nini?

Mikoani ndo mkoa gani mkuu
 
Sasa tumuamini nani? Wenzio wanasema huyo kijana anatumiwa na chadema,

wewe unasema kajitolea kuitetea nchi yake!
Aiseee ngoja nisubiri mwingine atasema ni nani!

Ludovick ni kijana anaependa nchi yake hapendi kuona chui kwenye ngozi ya kondoo, ameamua kutoa sehemu ndogo tu ya ukweli uliosemwa siku nyingi kuwa Chadema ni SACCOS na sasa ni Mtandao unaofanana na Al-quadah.
 
Acheni unafiki na umbeya hapa, Jukwaa la siasa JF sio kijiwe cha umbeya umbeya.

Huyo Ludovick hakuwa anajulikana kabisa humu JF mpaka sakata la video ya Magumashi ilipowekwa humu mtandaoni kwa hisani ya Lumumba na kisha hapo hapo kutajwa na Manyerere Jackton kuwa anahusika na kuteswa kwa kubanda!!!

Mjengwa, Lukosi na Mwampamba ni wasanii wakawaida sana kwenye hii issue, hayo wanayoyasema hapa kwanini hamkuyasema kabla ya sakata hili halijatokea?
 
acheni unafiki na umbeya hapa, jukwaa la siasa jf sio kijiwe cha umbeya umbeya.

Huyo ludovick hakuwa anajulikana kabisa humu jf mpaka sakata la video ya magumashi ilipowekwa humu mtandaoni!

Mjengwa, lukosi na mwampamba ni wasanii wakawaida sana kwenye hii issue, hayo wanayoyasema hapa kwanini hamkuyasema kabla ya sakata hili halijatokea?

tafuta thread ya kufukuzwa kwa baba yake mwampamba utaja ludovick ninani..na hapa jf alikuwa anatumia account gani.
 
mbona unauliza b kabla hujauliza a? ulipaswa kwanza kuuliza kuhusu deus malya nadhani baada ya majibu labda ungefikiria na kupata jibu kuhusu ludovick.
 
inawezekana CHADEMA hawajui jamaa kama ni CHADEMA au CCM. Kila mtu anahaki ya kupatiwa mwanasheria kwenye kesi yeyote ile. Kwa kumtendea haki ,ushahidi na maelezo yaliopatika mpaka sasa ni kwamba huyu kijana amerekodi mazungumzo yake na Lwakatare akampatia Mwigulu nchemba. ni jukumu la Mwigulu Nchemba na CCM kumpatia kijana wao mwanasheria haraka iwezekanavyo. lasivyo kwenye kutetea watu wao Chadema 1 - 0 CCM

CCM wanajua kutumia lakini kutumikia kwao ni mwiko na wala usitarajie hilo hata siku moja. Hata walioko madarakani wanatumia madaraka yao kujineemesha wao binafsi na sio kuitumikia nchi ya Tanzania.
 
Back
Top Bottom