Joseph Ludovick ni nani ndani ya CHADEMA na kwanini hana mawakili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Joseph Ludovick ni nani ndani ya CHADEMA na kwanini hana mawakili?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ISMAIL MKIMBIZI, Mar 23, 2013.

 1. I

  ISMAIL MKIMBIZI Senior Member

  #1
  Mar 23, 2013
  Joined: Jan 13, 2013
  Messages: 193
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF naomba mnifahamishe huyu kijana Joseph Ludovick anayehusiswa na mipango ya kigaidi sambamba na Lwakatare yeye ana cheo gani CHADEMA na ni kwa nini mpaka leo tunasikia huku tulipo mikoani kuwa yeye hana mwawakili wakati huo huo Lwakatare ana mawakili zaidi ya wanne, Kwa nini?

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. saronga

  saronga JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2013
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 909
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kwasababu yeye inasemekana ni mmoja wa waliotumika na mwigulu kutengeneza hii video feki ya lwakatare
   
 3. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2013
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 13,171
  Likes Received: 3,159
  Trophy Points: 280
  Huo alikuwa ni pro Chadema, shushu wa Dr. Slaa.

  . Chadema wameamua kumchinjia baharini ili kutafuta huruma ya wananchi.
   
 4. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2013
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 13,171
  Likes Received: 3,159
  Trophy Points: 280
  Hayo ni maneno ya mkosaji, ila Ludovick ametoswa.
   
 5. fangfangjt

  fangfangjt JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2013
  Joined: Apr 25, 2008
  Messages: 571
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 33
  inawezekana CHADEMA hawajui jamaa kama ni CHADEMA au CCM. Kila mtu anahaki ya kupatiwa mwanasheria kwenye kesi yeyote ile. Kwa kumtendea haki ,ushahidi na maelezo yaliopatika mpaka sasa ni kwamba huyu kijana amerekodi mazungumzo yake na Lwakatare akampatia Mwigulu nchemba. ni jukumu la Mwigulu Nchemba na CCM kumpatia kijana wao mwanasheria haraka iwezekanavyo. lasivyo kwenye kutetea watu wao Chadema 1 - 0 CCM
   
 6. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2013
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 14,067
  Likes Received: 1,391
  Trophy Points: 280
  Masalia, katumiwa na Mwigulu Nchemba
   
 7. BEDO NYALUTOGO

  BEDO NYALUTOGO JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2013
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,324
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Huyu ludo asubili mwigulu amtafutie wakil maana yeye aliamua kukihujumu chama! Tena akafie mbal atuache na chadema tumechoka kuibiwa na CCM,!
   
 8. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2013
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 46,790
  Likes Received: 29,117
  Trophy Points: 280
  Acha uongo ! Uko Mikoani kivipi , wakati nimekuona Mchana Lumumba ! Acha hizo bhana ! Sasa kwa kukukomoa sitakujibu swali lako , japo jibu ninalo , Salamu zao huko ' mikoani '
   
 9. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #9
  Mar 23, 2013
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Ndugu Ismail Mkimbizi mtafute Mtela Mwampamba atakueleza vizuri huyu Ludo ni nani? au hata Majjid Mjengwa wanamjua vizuri, CDM hawawezi kukuambia! labda hawamjui au hawataki kumjua sasa!
   
 10. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #10
  Mar 23, 2013
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,870
  Likes Received: 1,329
  Trophy Points: 280
  Ludo ni partner wa masalia.

  Are you happy now?
   
 11. Tumaini Makene

  Tumaini Makene Verified User

  #11
  Mar 23, 2013
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 2,618
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Hakuwahi kuwa na cheo chochote.

   
 12. M

  Magesi JF-Expert Member

  #12
  Mar 23, 2013
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sawa Mkuu
   
 13. aka2030

  aka2030 JF-Expert Member

  #13
  Mar 23, 2013
  Joined: Jan 5, 2013
  Messages: 1,266
  Likes Received: 774
  Trophy Points: 280
  Ni mtu aliyevumbua ugaidi wa chadema
   
 14. I

  ISMAIL MKIMBIZI Senior Member

  #14
  Mar 23, 2013
  Joined: Jan 13, 2013
  Messages: 193
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asanteni sana nimeelewa. Hasira isitumike kama sera unaweza kuacha kuona yanayoonekana na ukaona yasiyoonekana!
   
 15. utaifakwanza

  utaifakwanza JF-Expert Member

  #15
  Mar 23, 2013
  Joined: Feb 1, 2013
  Messages: 14,101
  Likes Received: 1,714
  Trophy Points: 280
  Kumjua ludo tafuta uzi unaoenda kwa ninavyomjua joseph ludovick. Upo hapa jukwaani. Kiufupi ni mkereketwa wa chadema na private sekretari wa slaa
   
 16. andate

  andate JF-Expert Member

  #16
  Mar 23, 2013
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 2,655
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ludo ni salia la hali ya juu, lililosalia chadema, ambalo rada za chadema hazikuweza kulikamata kabla halijaleta madhara.
   
 17. Chris Lukosi

  Chris Lukosi Tanzanite Member

  #17
  Mar 23, 2013
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 4,587
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Ludovick Ni mwanachama wa chadema kama wengine tu
  Huyu ni kamanda mtiifu tena alie karibu sana na uongozi wa juu
  Tatizo ni kwamba wakati wowote kikinuka Chadema huwa inawasahau na kuwakana makamanda wao. Na ili wasije husishwa na matatizo yako watakuita masalia.
  Huu uwe mfano mzuri sana kwa makamanda wengine wa chadema kuacha tabia za kufuata upepo kwani siku kikinuka wajue imekula kwao. Watakaoumia ni ndugu na familia yako
   
 18. utaifakwanza

  utaifakwanza JF-Expert Member

  #18
  Mar 23, 2013
  Joined: Feb 1, 2013
  Messages: 14,101
  Likes Received: 1,714
  Trophy Points: 280
  Escapism approach
   
 19. Chris Lukosi

  Chris Lukosi Tanzanite Member

  #19
  Mar 23, 2013
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 4,587
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Ni miezi mitatu tu iliyopita LUDO alidivert email yangu kwa mjengwa na kuipeleka makao makuu yenu mkamuita shujaa na kujisifia inteligensia yenu .. leo bila aibu mnamuita masalia na kumkana kwa sababu yuko kwenye matatizo.
  Tusubiri kijana aongee afunguke na hapo ndio tutajua mengi
   
 20. andate

  andate JF-Expert Member

  #20
  Mar 23, 2013
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 2,655
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ali-divert email yako na kuipeleka makao makuu ili azidi kuaminiwa na wakuu ili wampe mwanya wa kuwasogelea zaidi ili akamilishe mission yake. Nyinyi aliwatoa kafara kusafisha njia kufikia haya aliyoyafanya. Jamaa alikuwa anafanya ukachero kwenye level nyingine kabisa ambayo huwezi kumstukia unless uwe unajua mchezo mzima.
   
Loading...