Joseph Kusaga: Zamaradi Mketema kurudi kuanzia wiki ijayo

Hakuna mtangazaji Tanzania hii asiyetamani kufanya kazi clouds media...mazingira ya kazi na bata la pale hamna mtangazaji asiyetamani woote ndoto zao ni kufanya kazi CMG
Kweli kabisa Hassan Ngoma anavuta milioni 9 kwa mwezi...... Kamzidi Kitenge wa Wasafi!
 
Kiukweli hawa jamaa kwenye upande was redio hawana mpinzani,hats creativity yao ni ya hali ya juu sana compared to other radio stations, they deserve to be awarded super brand radio award,
 
Clouds inachosha kwa Matangazo tu....That's why huwezi sikia mpira ukitangazwa kule kwasababu hawawezi kuvumilia 45 minutes bila ya Commercial break!
 
Nimeona mahalo insta idrisa kasema ili upate exclusive Interview na zama kweye zamaradi tv ni lazima uwe na machozi tena yale mepesi yenya makamasi ya chumvichumvi

Nikaanza kuangalia.kweli kabisa kila aliyemfanyia exclusive interview wengi walilia kwa ahisia haswaa hata wanaume. But mc pilipili ni kiboko yaan analia yeye ili mwanamke ambembeleze. Na ana dobolesha kuwa mkewe anamlea kama mtoto mdogo. Yaan hadi kuchanwa nywele kuandaliwa soksi utafkir wanaume wengine hawafanyiwi hivyo.
Vipi maadam kwema mbona umeongea kwa hisia sana
 
Kweli kabisa Hassan Ngoma anavuta milioni 9 kwa mwezi...... Kamzidi Kitenge wa Wasafi!
We jamaa nimesoma vizuri hiyo hela au??macho yangu hayaoni vizuri....unamaanisha laki 6 au9 au million 9 .....!!???

Kama ni million 9 sio kweli nakataa

Na alivyokuwa hajui kutangaza amshukuru Mwendazake kwa kumpa teuzi!!
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom