Joseph Kasheku (Musukuma): Nitapeleka hoja binafsi bungeni kudai kila mkoa ununue ndege zake za kufanya biashara

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,780
141,667
Mbunge wa Geita Vijijini mh Joseph aka Musukuma amesema atapeleka hoja binafsi Bungeni ili kila mkoa umiliki ndege zake za kibiashara.

Musukuma amesema hoja yake bungeni itabainisha namna ya ndege hizo zitakavyofanya biashara ili kuwepo na ushindani wa halali wa kibiashara baina ya mkoa na mkoa.

Maendeleo hayana vyama!
 
Haya ndio maajabu ya Tanzania. Unakuta tunakomaa watoto wetu wasome wafaulu vizuri lakini ikifika kwenye viongozi wa kutufanyia maamuzi na mstakabali wa maisha yetu tunachagua watu ambao hawakusoma wala kwenda shule.

Msukuma apele tu hoja bungeni kila kijiji tununue ndege tufanye biashara na baadae sheria kila mtu anunue ndege iwe lazima.
 
Kwa akili ya musukuma hiyo kwake ni bonge la hoja
Haya ndio maajabu ya Tanzania. Unakuta tunakomaa watoto wetu wasome wafaulu vizuri lakini ikifika kwenye viongozi wa kutufanyia maamuzi na mstakabali wa maisha yetu tunachagua watu ambao hawakusoma wala kwenda shule.

Msukuma apele tu hoja bungeni kila kijiji tununue ndege tufanye biashara na baadae sheria kila mtu anunue ndege iwe lazima.
 
Baada ya kuona kwao kumeamshwa sio?
Mbunge wa Geita vijijini mh Joseph aka musukuma amesema atapeleka hoja binafsi bungeni ili kila mkoa umiliki ndege zake za kibiashara.

Musukuma amesema hoja yake bungeni itabainisha namna ya ndege hizo zitakavyofanya biashara ili kuwepo na ushindani wa halali wa kibiashara baina ya mkoa na mkoa.

Maendeleo hayana vyama!
 
Mbunge wa Geita vijijini mh Joseph aka musukuma amesema atapeleka hoja binafsi bungeni ili kila mkoa umiliki ndege zake za kibiashara.

Musukuma amesema hoja yake bungeni itabainisha namna ya ndege hizo zitakavyofanya biashara ili kuwepo na ushindani wa halali wa kibiashara baina ya mkoa na mkoa.

Maendeleo hayana vyama!
Mnamuona ana akili timamu?
 
Back
Top Bottom