Mechi kati Yanga na Coastal Union ni moja ya mechi zilizo jaa utata mwingi sana, sasa hapa ndipo ninapo wadharau watu wanaopenda michezo Tanzania kwani mara makosa yanapo involve Yanga na Simba hushindwa kuwa wakweli hawasemi wakiogopa either kupoteza mvuto kwa wanaowatazama na kuwafuatilia thats why hata Edo Kumwembe hajapost chochote katika ukurasa wake rasmi wa facebook the same to shaffih.
Sasa bro kanakamfum acha unazi vitu vinapokuwa not clear usichambue kuupendezesha uma unaokusikia unapo niambia goli la ngoma clear sikuelewi wewe uliangalia kupitia azam TV bahati mbaya angle ilikua moja tu sasa unahalalisha vipi wakati hukuwa uwanjani?
Hapa unamaanisha walioshuhudia mpira hasa wale watangazaji ni waongo hatua hii imekushusha heshima kakaangu na hiyo nimekunukuu kupitia EFM asubuhi ya leo wachambuzi madudu yanapotokea msikae kimya eti kuogopa umma hasa kanakanfumu.