Joseph Kabila sio mtoto wa Laurent Desiree Kabila (?)

Wee jamaa hizi chai unatunywesha bila sukari, huyo kabila kasoma Tanzania tena mbeya na wakina jay moe, alafu huo muda wakati yuko kaka mkuu shule ya mbeya wewe hapo umemweka alikua vitani anapigana vita vya mobutu, hahahahaha jamaa umetupa mpaka email kabisaa
Hahahaha ,eti 'jamaa ni chizi '
 
Manyarwanda mengi yamejipenyeza Congo Dr wakajiita wanyamrenge ili kuwanyonya wa Congo.
 
Wee jamaa hizi chai unatunywesha bila sukari, huyo kabila kasoma Tanzania tena mbeya na wakina jay moe, alafu huo muda wakati yuko kaka mkuu shule ya mbeya wewe hapo umemweka alikua vitani anapigana vita vya mobutu, hahahahaha jamaa umetupa mpaka email kabisaa
Nashukuru kwa kuliweka vzr ili maana ni chai tupu umu
 
Tunaomba muendelezo wa huu Uzi, tafadhali! Pia usisahau kuni'tag', Mkuu Wangu!
 
Kagame simuelewagi sijui lini nitamuelewa
hata kama si mkongo nimuafrica inatosha kutawala congo....hiyo mipaka ni ya wazungu tu....sisi africa tulikuwa nchi moja...rwanda ni mkoa tu.....hkn cha mtusi wala mkongo woooote sisi weusi tuna fanana kwa lugha na sura.......joseph alimuuua kabila mkubwa?? ni sawa watu kuuana ndg tangu zama.... kibiblia mbona kaini alimuua abel?? Ok abosalom alitaka kumuua daudi ili atawale ajabu iko wapi?....hata km amerithiwa kutoka kwa baba mwingine je ni wangapi hapo bongo mmerithi watoto za wake zenu??hata weye mtoto mmoja baba yake ni kondakta wa daladala? Au mpemba muuza genge.. Sasa je afe?? Sababu tu si wa baiological faza?......anafanya vizuri kiuongozi kuliko hso unaodhania ni biological children muacheni......
Km kabila anaweza ongoza congo kwa nini asifanye ivo??....wkt ni mweusi??? Tanzania yote hiyo hkn kabila la asili hapo...wote ni wabantu wa kuja tu. cameroon ndo kwenu asilia....amerthiwa!! ni sawa tu kwetu weusi ndo asili yetu...ameua rais mwenye ulinzi ni sawa tu sababu ni historia ya mapambano Duniani....mkwawa aligombania milk na kaka yake hkn ajabu. Kim wa korea alimuua kaka yake ili atawale na yuko vizuri kiutawala mpaka sasa......sheria ya jeshi Duniani iko hivi ukiona Boss wako platuni commander haeleweki na mmepoteza mwelekeo na umoja miongoni mwenu wa kuiongoza platuni muue faster....bila kujali ni ndg au nani kwako. Km alimuua baba yake wa kufikia ktkati ya mapambano! Kijeshi ni sawa kwa sababu yeye ni mjeda pia. Mleta mada wewe ni raia sana hujui kitu hata jkt hukwenda wewe.... Dogo yuko vizuri mno kuigwa africa nzima.. anafaa kutawala africa yote!!! Viva kabila viva!!...wa kufikia pia ni wako
 
Back
Top Bottom