Uchaguzi 2020 Joseph Haule(Profesa J) anogewa na ubunge, achukua tena fomu Mikumi

Angalia Sura Zao Hawajapenda Mamluki Kuvamia Chama Chao..anatoka Mtu upinzani anaingia CCM anakuwa balozi,naibu Waziri,mkuu wa wilaya na Das wao vijana wa ccm wapo wanasugua mabenchi kwenye vijiwe vya kahawa hata bendera za chama hawataki kupandisha wanawaachia Wafungwa.
 
Angalia Sura Zao Hawajapenda Mamluki Kuvamia Chama Chao..anatoka Mtu upinzani anaingia CCM anakuwa balozi,naibu Waziri,mkuu wa wilaya na Das wao vijana wa ccm wapo wanasugua mabenchi kwenye vijiwe vya kahawa hata bendera za chama hawataki kupandisha wanawaachia Wafungwa.

Nahii nikosa kabisaa katika siasa. Lazima tuamini kuwa watu ulionao ni ASSET ndani ya chama. kila binadamu ameumbiwa kufundishika, sasa wanapoangika na JAHAZI miaka yote halafu anatokea mtu kutoka upande wa pili hajui historia ya jahazi na wala maisha ya jahazi halafu anapewa usukani , daaah, lazima waumie sana
 
Hivi wanunge huwa wanatutumikiaje? Hawa watu wafutwe watendaji wa serkali wa umma wanatosha. Wachoongea bungeni sio mawazo yetu, hakuna mahali tunakaa nao na kupanga au kuwaambia watusemee nini, wanasema utashi wao tu.
Unajua wajibu & majukumu ya mbunge dhidi ya jimbo, bunge na Taifa??
 
yaani kuna majimbo hayanaga shida kabisa kama mikumi, iringa mjini aaah yaaan
 
Hivi wanunge huwa wanatutumikiaje? Hawa watu wafutwe watendaji wa serkali wa umma wanatosha. Wachoongea bungeni sio mawazo yetu, hakuna mahali tunakaa nao na kupanga au kuwaambia watusemee nini, wanasema utashi wao tu.
Mkuu that is the best point of the day!!

kuna wabunge wapumbavu wamejaa bungeni wanaongea upumbavu tupu hadi unahama chanel kwa kuboreka halafu unajiuliza hayo wanayoongea hao maziro brein ndio mawazo ya wanaowawakilisha? jibu ni hapana!!

nakumbuka one day nilikuwa Moshi kuna mbunge akaitisha mkutano wa raia waende kumwambia akaseme nini bungeni nikasema huyu ndio mbunge wa ukweli!!alikuwa mwanamke wa viti maalum CCM simkumbuki jina!!

pale mjengoni pamegeuzwa jukwaa la mipasho kuropoka na kubwabwaja tu wabunge wanalitia aibu taifa kwa kuonesha jinsi walivyojaa ujinga wa kuongea upumbavu saa nzima wenzake wakipiga meza tu na kushangilia ujinga unaosemwa usio na tija yoyote kwa wapiga kura, siku moja nilikaa kuangalia bunge Waziri wa Fedha aliwashukuru dunia nzima walio hai marehemu na wafu walio mjengoni na nje, familia yake rafiki zake serikali upinzani wasanii wanamichezo mawaziri, wabunge, Rais kinamama wazee na watoto, waafrika na wazungu aliwashukuru kuku na ndege kwa masaa matatu hadi nikachoka kuangalia nikasema hili bunge gani sasa mbona shukrani haziishi!!ndo maana sisi ni maskini tuna rasilimali kuliko Kenya ila sisi ni makapuku daima!

ukifuatilia wanayosema wabunge bungeni unajiuliza wanayatoa wapi mawazo hayo manake hata hawatuwakilishi chochote wanaongea tu utumbo wao, mfano ni hawa wabunge wapumbavu wenye mada na njama za kuibaka katiba kumuongezea Mkulu muda hawa walikaa na mwananchi gani akawaambia huku mtaani tunataka wakaseme hilo? malofa wakubwa!

hii ni mada kuu kabisa iliyopaswa kujitegemea, yaani wananchi tujue wabunge husema maneno wanayowakilisha kina nani, ni mfumo gani unaotumika kwa wao kupata mawazo ya wananchi wanayotakiwa kuyawasilisha bungeni? ni mfumo gani unatumika kuwadhibiti kusema yale waliyotumwa na wananchi wao tu?

tufanye nini wabunge waseme tunayotaka mtaani na sio upumbavu wao wanaopigiana makofi?

je wananchi tunawezaje nasisi huku mtaani kulidhibiti bunge wakati wowote baada ya uchaguzi ili waache kuongea upumbavu unaoboa kila siku kwa kutumia kodi zetu?
 
Yule mbunge pekee anayewakilisha wanyama na binadamu, ambaye pia amesimikwa kuwa msemaji rasmi wa Mkoa wa Morogoro, Joseph Haule amechukua tena fomu ya kuomba ridhaa hiyo.

Ivi huyu naye hajatembezewa bakuli la hela kuunga mkono juhudi?
Huwa namuona ona kwenye mikutano ya JPM anapenda kimbele mbele kukimbilia mike na ku-rap na kusifu juhudi
Kwanini hajajiunga ccm?? Anazuga zuga nini
 
Kila la kheri Prof Jay..
Una maono una halima una busara una utu una ubindamu ungekuwa lelemama kwa serikali ulivyobomolewa nyumba yako ungeunga mkono juhudi ila kwa vile umelelewa katika mazingira ya kutetea haki ...Imani umeilinda utailinda.
 
Back
Top Bottom