Uchaguzi 2020 Joseph Haule (Prof Jay) alivyopokewa kwa shangwe na Wananchi akizindua kampeni za Ubunge Mikumi

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,291
24,169
8 September 2020
Ruaha -Mikumi, Morogoro
Tanzania


PROF JAY ALIVYOPOKEWA KWA SHANGWE NA WANANCHI AKIZINDUA KAMPENI, KAFUNGUKA WASANII KUMTENGA



Mgombea wa ubunge jimbo la Mikumi mkoa wa Morogoro kupitia Chama cha CHADEMA Joseph Haule almaarufu kama Prof. JAY leo amezindua kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa 2020.

Prof. Jay aelezea alivyopigania mahitaji ya kipaumbele katika Maendeleo ya Watu jimboni sehemu za Kidodi, Ruaha na Mikumi mkoani Morogoro

 
Kwa wapinzani nazani huyu ndiyo abaki tuu bungeni ila wengine fyekelea mbali
 
Wasanii na hasa wa Bongo movies wengi IQ not reachable! Mungu atakusaidia Prof J. Baba Levo angekusaidia isingekuwa amekuwa bize sana siku hizi na kukata vitunguu pale Shishi food na sijui hata Kigoma ataenda kugombea udiwani tena! Limbwata la kinyamwezi likmekolea kahama kabisa Kigoma
 
Na walimdhulumu Ubunge wake Kwa maagizo ya mjaa laana Jiwe
Shabhash
afadhali yule bwana alitwaliwa na roho ya umauti maana ilikua hatari!
 
Back
Top Bottom