Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 46,877
- 122,115
Pair wake nani sasa kama akina BonucciNaungana na wewe katika hili bt what about Sergio Ramos
Pair wake nani sasa kama akina BonucciNaungana na wewe katika hili bt what about Sergio Ramos
Naungana na wewe katika hili bt what about Sergio Ramos
Hawa wapo juu sana Zaidi yake, anachowazidi yeye ni mafanikio na hayo ni kutokana na kuwa yeye amecheza timu zilizo bora Zaidi kwa wakati husika. lakini kwa uwezo hawezi nusa kabisa.i
Varane nahis walifanya vizur Zaid wakiwa wotePair wake nani sasa kama akina Bonucci
Ramos na Pepe japo hakudumu Madrid, walikuwa watu wa kazi kazi tu!Varane nahis walifanya vizur Zaid wakiwa wote