Jorginho for Ballon D`or 2021

Jojo jogi Amna bora angepewa Mtenje Albano wa coast Union
 
Ninyi wachache mnaopiga kelele mnadhani tuzo inatolewa kwa mwenye magoli mengi! Akili ya wapi hiyo? Jamaa yenu akikosa mnatafuta pa kulalamikia, lakinii All in All nafsi zenu zinamkubali Messi, zinakubali amesitahili...... huyu ndiye The best player ever...ever. hakuna wa kumfuata.
 
Mzee Ronaldo mbona hapewi ili wafanye biashara maana yeye ndio mwenye followers wengi kwenye social media zote.

Pia anapendwa zaidi na wadada hata wasiofuatilia mpira. Ni kama Brazil ya 1995-2010.

Tuache ushabiki Messi na uzee wake ameonesha consistency mwaka 2021 ameshinda copa America na kuwa mchezaji Bora, mfungaji bora na mtoa assist bora.

Pia pamoja na ubovu wa Barcelona alimaliza msimu kama mchezaji Bora La liga, mfungaji Bora La liga na play maker Bora La liga.


Acha takwimu ziongee sio maneno matupu.
Kweli kabisa
 
Wewe endelea kupiga kelele, usije pata pressure sababu ya mpira....

Acha nikusaidie kukupa statistics kijana, na hapa ukibisha ntajuwa hujui mpira ama wivu na chuki zinakusumbuwa....watag na wenziyo mnaopiga kelele zisizo na maana yoyote.

View attachment 2028094View attachment 2028095View attachment 2028093View attachment 2028096View attachment 2028092

Bado utasema hakusitahili? Acheni wivu na chuki bwana.....huyu ndiye best player ever....ever , hana mpinzani mpaka sasa.


Usirudi kuniambia tena "Hakustahili" takwimu hizo hapo.
Kwa takwimu hizo alistahili kabisa
 
Back
Top Bottom