Huyu jamaa kwa sasa ni Mkuu wa Dodoma. Nimekuwa nikimsikia kuanzia nikita primary. Sasa nakaribia miaka 40.
Nimemsoma kwenye vitabu na kumuona Kwenye majiwe ya uzinduzi wa miradi ya mwenge kuanzia nikiwa primary tena madarasa ya chini kabisa(la Kwanza hadi la tatu) . Hivi ni huyu huyu au mwanaye? Kama ni hivyo kwa nini na yeye asistafiiswe kwa maslai ya vijana kama inavyotokea kwa wengine? Amekula mzizi gani huyo?