Jordan express co ltd pungozo la bei kwa magari yafuatayo.

Shukran!
Nitawatafuta kwa simu, nipate location ya ofisi na yard zenu hapo Dar


Hello Tunaweza kukuagizia gari unalopenda process nzima inaweza kuchukua kati ya mwezi mmoja au mwezi moja na week moja...Cami ID NO 00083 4WD 12,500,000 Tsh.. Pia kuna Pajeri JR ID NO 00082 4WD 8,000,000 Tsh...Unaweza kuona picha fungua www.jordanexpress.co.tz karibu sana.
 
Nimetembelea website tajwa hapo juu ambayo ni yenu, kuna magari nimeyapenda sasa naomba jua je hizi bei Za magari yaliyopo nje ambazo zipo in dollars na hadi kufika dar?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom